The House of Favourite Newspapers

Nchi 10 za Afrika Zafuzu Mechi za Mtoano Kombe la Dunia

0

 

Nchi 10 za Afrika zimefuzu mechi za mtoano kuelekea katika Mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika Qatar mwakani kuanzia Novemba 21 mpaka Disemba 18, 2022, yakishirikisha mataifa 32 .

Qatar, itashiriki mashindano haya kwa mara ya kwanza kabisa, na imefuzu kama mwenyeji, ikitarajiwa kuwa timu ya kawaida katika fainali hizo.

Mali ndio Timu pekee Afrika iliyomaliza mechi za Makundi kufuzu kwenda World Cup bila kuruhusu bao

• Mechi 6
• Clean Sheets 6
• Pointi 16

1⃣
2⃣
3⃣
4⃣
5⃣

6⃣
7⃣
8⃣
9⃣

Leave A Reply