KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi, ambapo kwenye ligi kuu bara ishu ya Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein, kudaiwa kwenda Yanga, bado ni kizungumkuti…. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx