×

Mbosso Aachia Album Yake ya Kwanza “Definition Of Love”

STAA wa muziki wa Bongo Fleva anayekiwasha chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf ‘Mbosso’ ameachia rasmi album yake ya kwanza mara baada ya jana kuachia orodha ya nyimbo zinazopatikana kwenye album hiyo

“Definition Of Love” imekamilishwa na nyimbo 12 huku kolabo zikiwa 9 tuu zikijumuisha wasanii kutoka ndani na nje ya Tanzania.

Leave a Comment