×

Mhadhiri wa Chuo Matatani Kwa Rushwa ya Ngono

Mhadhiri wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Adam Semlambo ameingia matatani, akihusishwa na rushwa ya ngono ambapo uongozi wa chuo...

READ MORE

Maisha Magic Movies Yatangaza Neema Kwa Filamu Tanzania

Chaneli maarufu ya Maisha magic Movies imetangaza neema kwa wazalishaji wa filamu hapa nchini baada ya kuongeza idadi ya filamu...

READ MORE

Vikwazo vyaipa wakati mgumu Urusi

“NINGEKUWA na uwezo ningehama Urusi sasa hivi. Ningefanya hivyo. Lakini siwezi kuacha kazi yangu,” anasema Andrey. Hataweza kumudu mpango wa...

READ MORE

Unachopaswa Kufanya Ili Mume Asichepuke

RAFIKI,mapenzi yana kanuni zake; kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia. Unapotokeakumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza, lakini omba...

READ MORE

Masoud Djuma Arudisha Matumani Dodoma Jiji

UONGOZI wa Dodoma Jiji, umeibuka na kusema una imani timu hiyo itafanya vizuri na kufanikisha malengo yake ikiwa chini ya...

READ MORE

Abramovich Athibitisha Kuiweka Sokoni Chelsea

ROMAN Abramovich usiku wa Jumatano kwa hisia amethibitisha kwamba yupo kwenye mpango wa kuiuza timu hiyo. Abramovich ameamua kuuvunja ukimya...

READ MORE

Umoja wa Mataifa Waitaka Urusi Kuondoka Ukraine – Video

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limepiga kura kwa wingi ya kuunga mkono azimio la kuitaka Urusi kusimamisha mara...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Viongozi wa Dini, Waomba kumaliza kesi ya Mbowe

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amezungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu maendeleo...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Geita Gold Mining Ltd, Data Capturing

  ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Machi 3, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 3, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Pesa za Zawadi Nmb Mastabata Zabaki Mil 100

Msimu wa Tatu wa Kampeni ya NMB MastaBata inayoendeshwa na Benki ya NMB, umezidi kushika kasi kuelekea ukingoni baada ya...

READ MORE

Kikwete Ateuliwa SADC

RAIS Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Jopo Wazee wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...

READ MORE

Live: Urusi Yadai Kuuteka Mji wa Kherson

SERIKALI ya Urusi inadai kuwa imeudhibiti kabisa Mji wa Kherson uliopo Kusini mwa Ukraine, ukiwa ndiyo mji wa kwanza kudhibitiwa...

READ MORE

Mabomu Ya Vacuum Tishio Ukraine

  SIKU chache zilizopita, Balozi wa Ukraine katika Umoja wa Mataifa, Oksana Markarova aliilalamikia Urusi kuwa inatumia mabomu hatari ya...

READ MORE

Kiiza: Huyu Mayele Atafunga Sana Yanga

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba ambaye hivi sasa anacheza Kagera Sugar, Mganda, Hamis Kiiza‘Diego’amemuangalia straika waYanga, Mkongomani, Fiston Mayele na...

READ MORE

Wanajeshi Urusi Waishiwa Mahitaji Muhimu

KAMPUNI ya kijasusi ya ShadowBreak ya nchini Uingereza, imedai kwamba imenasa mawasiliano kati ya wanajeshi wa Urusi waliopo uwanja wa...

READ MORE

Nabi Ataja Kinachomnyima Mabao Makambo Yanga

KWA mara ya kwanza Kocha Mkuu waYanga, Mtunisia Nasreddine Nabi ameibuka na kutaja sababu inayomfanya mshambuliaje wake Heritier Makambo kushindwa...

READ MORE

Wakili: Makonda Hakupewa Taarifa Kuitwa Mahakamani

WAKILI wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Goodchance Reginald amesema mteja wake hakuwa amepewa wito...

READ MORE