×

Mastaa 17 Kuondoka Man United

Manchester United ipo katika wakati mgumu hasa kutokana na kudaiwa kuwa kuna wimbi kubwa la wachezaji wanataka kuondoka wakati huu...

READ MORE

Pablo Aanza na Majembe Mapya Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameonyesha kuwa ni kweli hataki masihara, kwani mapema tu ameweka wazi kuwa atakuwa na...

READ MORE

Makabila Anamtaka Nandy

MFALME wa muziki wa singeli, Dulla Makabila ni kama anaitamani kolabo ya singeli kati yake na The African Princess ‘Nandy’...

READ MORE

Ndugai Apongezwa, Wasema Ilitarajiwa

WATU wa kada mbalimbali wamesema hatua ya Spika Job Ndugai (pichani) kujiuzulu ni jambo lililotarajiwa huku wengine wakisema amechukua uamuzi...

READ MORE

Yanga Yatumia Sh 50Mil Kuwapora Straika Simba

IMEFAHAMIKA kuwa uongozi wa Yanga umetumia Sh 50Mil kufanikisha usajili wa mshambuliaji wa Mbeya Kwanza, Chrispin Ngushi aliyekuwa akiwindwa pia...

READ MORE

Ronaldo de Lima Anawaza Kumsajili Lionel Messi, CR7

STAA wa zamani wa Brazil, Ronaldo de Lima amefunguka kuwa kama angekuwa na fedha angewasajili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo....

READ MORE

🔴#Live: Mwisho Wa Enzi Wa Ndugai, Mjadala Mzito Kujiuzulu Kwake, Sababu Zatajwa | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘Front Page’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Lil Ommy: Harmonize Nilimshangaa, Sifanyi Kazi za Muziki wa Diamond

HIVI Karibuni msanii Harmonize aliwahi kumtuhumu mtangazaji wa The Switch ya Wasafi Fm, Lil Ommy akidai ni moja ya watu...

READ MORE

Jack Clif Alitoka Jela na Simu ya Macho Matatu

MAISHA hayajawahi kuwa sawa, mrembo Jackie Cliff ametoka jela, lakini bado anaunyamwezi uleule kama wa zamani, ujanja kibao, mapicha ya...

READ MORE

Nafasi za Kazi 3 NHC, Procurement Officer

POST PROCUREMENT OFFICER II – 3 POST POST CATEGORY(S) PROCUREMENT & LOGISTIC MANAGEMENT EMPLOYER National Housing Corporation(NHC) APPLICATION TIMELINE: 2022-01-01...

READ MORE

Nafasi za kazi 3 National Housing Corporation, Mechanical Eng.

POST MECHANICAL ENGINEER II – 3 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER National Housing Corporation(NHC) APPLICATION TIMELINE: 2022-01-01 2022-01-14...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Januari 7, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 7, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Kijana Atuhumiwa Kumuua Mpezi Wake

Maafisa upelelezi nchini Kenya wamemkamata kijana aitwaye Brian Waweru mwenye umri wa miaka 25, kwa tuhuma za utekelezaji wa mauaji...

READ MORE

Musukuma Aibua Sakata La Spika Ndugai – “Niko Tayari Kufukuzwa Ubunge”

MBUNGE wa Geita Vijijini, Dkt Joseph Kasheku, amezungumza kuhusiana na sakata la Spika Ndugai, kutoa kauli ya kumkashifu Rais Samia,...

READ MORE

Simba Yaionya Yanga Princess

JOTO la mechi ya Watani wa Jadi kwa upande wa soka la wanawake limezidi kutanda ambapo Yanga Princess watakuwa wenyeji...

READ MORE

Moses Phiri Afunguka Kila Kitu

HATIMAYE Mshambuliaji wa Zanaco FC ya Zambia, Moses Phiri, amefungukia dili lake la kujiunga Yanga, hukuakiweka wazi kuwa bado hajamalizana...

READ MORE

Fahamu Nchi Yenye Watu 11 Pekee

Bila shaka umesikia simulizi nyingi za kuvutia kuhusu milki nyingi hadi kufikia hii leo. Ikiwa ni pamoja na Milki ya...

READ MORE

Lusajo Mchezaji Bora Desemba

KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Namungo FC, Reliant Lusajo amechaguliwa Mchezaji Bora wa mwezi Desemba wa Ligi Kuu Tanzania Bara....

READ MORE

Timu ya Senegal Yapata Pigo

TIMU ya Taifa ya Senegal imekumbwa na janga la wachezaji watatu kukutwa na virusi vya Corona pamoja na viongozi wao...

READ MORE