×

Mgeja: Genge la Ndugai Lijitathmini, Mabango ya Ndugai Yaondolewe

KADA mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amewapongeza Watanzania kuandika Historia ya pekee kumlinda Rais Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Yanga Yabanwa Mbavu na KMKM

Yanga SC imeshindwa kufurukuta mbele ya Wazuia Magendo wa Zanzibar (KMKM) baada ya kulazimishwa sare ya bao 2-2 katika mashindano...

READ MORE

Mbatia Kwenda Mahakamani Kupinga Ndugai Kujiuzulu

Chama Cha NCCR-Mageuzi kimesema kinakusudia kwenda mahakamani kupinga iwapo kutakuwa na mchakato wowote wa kumpata Spika mpya wa Bunge la...

READ MORE

Wabongo Kumshuhudia D’Banj Dubai

WATANZANIA wameanza kuchomoza katika shindano la kuwania tiketi za bure kuelekea nchini Dubai kutembelea maonesho ya kibiashara ‘Dubai Expo 2020’,...

READ MORE

Pablo Afunguka Kuhusu Shiboub

KOCHA wa Simba, Pablo Franco amesema licha ya kiungo Sharaf Shiboub kuwahi kuichezea Simba, anapaswa kuonesha kiwango kwenye mechi za...

READ MORE

Ripoti ya Jaji Zondo Yammaliza Zuma

RIPOTI ya kursa 874 ya Tume iliyounda kuchunguza tuhuma za ufisadi wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma,...

READ MORE

Eto’o: Afrika Tunadharauliana

NGULI wa zamani wa Soka wa Cmaeroon na Rais wa Shirikisho la Soka nchini humo, Samuel Eto’o amesema kuwa Mataifa...

READ MORE

Mgeja Ataka Soko Kuu la Dodoma Lisiitwe Job Ndugai

KANDA wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mzalendo Foundation inayojihusisha na masuala ya haki, utawala bora na...

READ MORE

Pogba Apewa Ofa Ya Kibabe Manchester United

Klabu ya Manchester United imempatia Ofa ya mkataba mpya kiungo wa kimataifa wa Ufaransa, Paul Pogba wenye thamani ya kitita...

READ MORE

Malaika Anaswa Na Camera Kanisani

  Pastor Ekuma Uche Philips wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo amedai yakua malaika amenaswa na camera za kanisani kama...

READ MORE

Vijana Msitumike Kupasua Chama – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amewataka vijana wa chama cha Mapinduzi kutokubali kutumiwa kusababisha mpasuko...

READ MORE

Vijana Tafuteni Kazi Sio Ajira – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Vijana nchini kujikita zaidi katika kutafuta fursa za kazi badala ya fursa za ajira. Rais...

READ MORE

Watu 11 Wafariki, Wanne Wapofuka kwa Kunywa Pombe ya Ndizi

WATU 11 wameripotiwa kufariki nchini Rwanda tangu sikukuu ya Krismasi baada ya kunywa pombe ya kienyeji inayotengezwa kutumia ndizi katika...

READ MORE

Breaking: Wabunge Waitwa Bungeni Dodoma

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nenelwa Mwihambi leo Ijumaa, Januari 7, 2022 amesema baada ya Job...

READ MORE

Wanne Watiwa Mbaroni kwa Kutaka Kumuibia Rais

HII nayo kali! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia jamaa wanne kukamatwa kwa njama ya kujaribu kumuibia Rais wa Kenya, Mhe....

READ MORE

Mrembo Anaekusanya Ushuzi na Kuuza, Yamkuta!

MREMBO Stephanie Matto (31) aliyejiajiri kwa kujamba, kuufunga ushuzi na kuuza kwenye chupa na majagi aamua kustaafu baada ya kukumbwa...

READ MORE

Mama Mtoto wa Davido Atoa Tamko

ALIYEKUWA mpenzi wa msanii maarufu kutoka nchini Nigeria Davido, aitwaye Sophie Momodu ambaye pia ndiye mama mzazi wa mtoto wa...

READ MORE

Rais Samia: Vijana Mkachanje – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya...

READ MORE

Katiba Inasemaje Kuhusu Kiti cha Spika Kikiwa Wazi

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amejiuzulu nafasi hiyo kuanzia jana Januari 6, 2022 kwa hiari yake mwenyewe kwa...

READ MORE

RC Chalamila: Sitaki Katiba Mpya

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Albert Chalamila amekanusha taarifa iliyosambaa mtandoni ikionyesha kuwa ameunga mkono mabadiliko ya katiba jambo...

READ MORE