×

Nguli wa Madawa ya Kulevya Duniani Akamatwa Dubai

MAOFISA mjini Dubai wamethibitisha kumkamata mmoja wa walanguzi wakubwa kabisa wa dawa za kulevya wanaotafutwa ulimwenguni pamoja na mshirika wake...

READ MORE

Kane Aitega Spurs

MSHAMBULIAJI wa Tottenham Hotspurs, Harry Kane imeripotiwa kuwa anataka kulipwa mshahara wa Paundi 400,000 sawa na Bil. 1.2 na ushee...

READ MORE

Udahili Waanza Shule Zilizojengwa na GGML

Wanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Bugando ambayo ni shule ya sekondari ya pili ya serikali katika...

READ MORE

Taarifa Kuhusu Tukio la Mauaji Dar

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili ilipokea majeruhi watano jana tarehe 25 Agosti, 2021, kuanzia majira ya saa saba mchana wakiwa na...

READ MORE

Kiungo wa Azam FC, Awesu Awesu Atua KMC

IMEELEZWA kuwa, KMC ikiwa kwenye harakati zake kujiandaa na msimu wa 2021/22, imefanikiwa kuipata saini ya kiungo wa Azam FC,...

READ MORE

Video: Rais Samia Anapokea Hati Za Utambulisho Wa Mabalozi Wateule

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Agosti 26, 2021 anapokea Hati za Utambulisho kutoka...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi International Rescue Committee, Research Officer

IRC Summary The International Rescue Committee (IRC) responds to the world’s worst humanitarian crises and helps people whose lives and...

READ MORE

Majirani Wafunguka: Hamza Alikuwa Mtu wa Kawaida – Video

KUFUATIA tukio la jana Agosti 25, 2021 la kijana mmoja anayetajwa kwa jina la Hamza mkazi wa Upanga jijini Dar...

READ MORE

Kocha Yanga Matumaini Kibao Dhidi ya Rivers United

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefunguka kuwa mpango wake mkubwa ni kuhakikisha wanautumia mchezo wao wa kilele cha Wiki...

READ MORE

Mwakinyo: Babu Tale Asinichukulie Poa, Sipigani na Wabeba Matofali – Video

BONDIA namba moja Tanzania na Afrika ambaye pia ni namba 24 Duniani katika uzito wa super welter, Hassan Mwakinyo amesema...

READ MORE

NMB Yatoa Msaada Wa Mil. 54 Zanzibar, Yadhamini Kikao Kazi cha Jeshi la Polisi Dar

Katika kuhakikisha shamra shamra za Siku ya Kizimkazi visiwani Zanzibar zinafana, Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya hospitali...

READ MORE

Ibrah Ataja Sababu Za Kumposti Mke Wa Rayvanny

MKALI wa mkwaju wa Jipinde kutoka Lebo ya Konde Gang, Ibrah amesema kuwa alimposti mzazi mwenza na mpenzi wa zamani...

READ MORE

Lebron Apigwa Zengwe Tuzo Ya MVP

ZENGWE limenza kupigwa juu ya nani anastahili kuwa mchezaji bora wa msimu wa Ligi Kuu ya Kikapu Marekani (NBA), huku...

READ MORE

Live: Utata Mauji Dar, Mashuhuda Wafunguka Mazito | Gwajima Agoma Kukaa

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Agosti 26, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 26, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi ADRA, Field Project Officer

Adventist Development and Relief Agency (ADRA) is a global humanitarian agency of the Seventh-Day Adventist Church currently operating in over...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS  https://apple.co/38HjiCx Android  http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE

Mwalimu Ajinyonga, Aacha Ujumbe Kuhusu Barakoa

MHITIMU wa Ualimu ngazi ya Astashahada ambaye ni mkazi wa Mtaa wa Majengo, Kata ya Ichenjezya wilayani Mbozi Mkoa wa...

READ MORE

Kesi ya Morrison vs Yanga, Kwani CAS Wao Wanasemaje?

Kesi inayomuhusu Mshambuliaji wa Simba Bernard morrison na Klabu ya Yanga mpaka sasa bado giza kutokana na mahakama ya usuluhishi...

READ MORE

Tanzia: Maalim Seif Azzan Afariki Dunia

Maalim Seif Mohamed Azzan amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Kisiwani #Pemba. Alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Harakati za Mageuzi...

READ MORE