
Manchester City wameendelea kuweka presha kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kuichapa Crystal Palace mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa dimba la Etihad Stadium.
Mabao ya City yalifungwa na Antoine Semenyo dakika ya 32, Omar Marmoush dakika ya 40 pamoja na Savinho dakika ya 84 kuhakikisha timu hiyo inaondoka na alama tatu muhimu.
FT: Manchester City 3-0 Crystal Palace
⚽ 32’ Semenyo
⚽ 40’ Marmoush
⚽ 84’ Savinho
MSIMAMO EPL 🔝2️⃣
- Arsenal — Mechi 36 — Pointi 79
- Manchester City — Mechi 36 — Pointi 77