×The World You Left Behind 23

Matumizi mabaya ya fedha za serikali na ubadhirifu mkubwa unaotokea kwenye Wizara ya Fedha, unasababisha waziri mwenye dhamana katika wizara hiyo, Abbas Magesa kuwa mkali…

SOMA ZAIDI

Bayo Na Imbori – 22

Josephine anazidi kupanga mipango ya kumuua Imbori, ili kuikamilisha azma hiyo anawatafuta vijana wawili kutoka Kundi la Kigaidi la Nato aliowaahidi malipo ya dola za…

SOMA ZAIDI

Mapazia ya chumbani -10

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Na ana bahati tu nilimpa kidogo, je tungekesha?” Mzuka ulikuwa umempanda. Akili ikamtuma moja kwa moja kuchukua simu yake na kuanza kumchokoza…

SOMA ZAIDI

No Picture

Askofu kuliombea taifa mvua

Kutoka kushoto ni Askofu wa Good News For All Ministry, Charles Gadi, Mchungaji James Manyama na Mchungaji Leonard Leonce Kajuna wa kanisa hilo wakati wakielezea…

SOMA ZAIDIMabilionea wasio na huruma-60

ILIPOISHIA… INSPEKTA Masala amefanikiwa kuwaingiza kwenye mkono wa sheria Dk Viola na nduguye Vanessa ili wahukumiwe kwa mauaji ya kikatili waliyoyafanya wakati wakitafuta fedha kwa…

SOMA ZAIDI


Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-19

ILIPOISHIA IJUMAA ‘KUBWA’: Mama Shua alibaki ameduwaaa asijue la kufanya kwani majibu ya mama yake yalimpa picha kamili ambayo hakuwahi kuiona hata siku moja. JIACHIE…

SOMA ZAIDI

The Angel of darkness -18

Shambulizi kubwa la kigaidi linatokea kwenye kituo kikubwa cha biashara nchini Kenya, Kikuyu Mall na kusababisha vifo vya watu wengi, wakiwemo Wakenya, Watanzania na watu…

SOMA ZAIDI

Jini Mauti-9

ILIPOISHIA Mama alikuwa msiri, hakutaka kumwambia mzee yule kilichotokea, alikubali kubembelezeka na mwisho wa siku kuanza kuongea mambo mengine kabisa. Mzee yule aliyejitambulisha kwa jina…

SOMA ZAIDI

Nelly Muosha Magari wa Posta-10

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale sharobaro Nelly alipoiweka soda yake ya kopo juu ya dirisha bila kujua kama Doreen ambaye wakati huo alikuwa hajiwezi…

SOMA ZAIDI

Barthez aomba kupiga penalti Yanga SC

Kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’. Wilbert Molandi, Dar es Salaam KATIKA kuhakikisha timu yake inatumia vyema mipira ya adhabu ya penalti, kipa wa Yanga, Ally…

SOMA ZAIDI

Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-13

ILIPOISHIA IJUMAA: Jambo ambalo sikulitarajia ni taarifa niliyoipata nikiwa bungeni kuwa rais alinitangaza kuwa mmoja wa mawaziri wake katika baraza lake la mawaziri aliloliunda mara…

SOMA ZAIDI

No Picture

Msuva ashangazwa na matusi ya Azam

Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam MSHAMBULIAJI wa Yanga, Simon Msuva, amesikitishwa na kitendo cha wachezaji wa Azam cha kumtolea maneno machafu…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online