×

Tanzia: Mmiliki wa Mabasi ya Sumry Afariki Dunia

Mfanyabiashara mkubwa aliyekuwa mmoja wa wamiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu Agosti 09,...

READ MORE

Binti Aliyetekwa na Chibok Mwaka 2014 Arejea na Watoto

MMOJA wa wasichana wa shule nchini Nigeria waliokamatwa na wanamgambo wa Kiislamu Boko Haram kutoka mji wa Chibok mnamo mwaka...

READ MORE

Wanajeshi 12 Wauawa

Wanajeshi 12 wa Burkina Faso wameuawa baada ya kushambuliwa Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo hapo jana, huku wengine saba wakitoweka....

READ MORE

Waasi Wakinukisha Zambia Kabla ya Uchaguzi

Zambia iko katika hali ya sintofahamu siku nne kabla ya uchaguzi mkuu Alhamisi, Agosti 12, 2021. Takribani watu watatu wameuawa...

READ MORE

Kinda wa Azam FC Afanya Makubwa Uturuki

MLINZI wa Kushoto wa Azam FC, Pascal Msindo, ambaye alipata nafasi ya kufanya majaribio klabu ya Antalyaspor ya Uturuki, ameibuka...

READ MORE

Bila Messi Barcelona Yaipiga Juventus

BARCELONA ikiwa haina Lionel Messi jana usiku Agosti 8, walifanikiwa kuwapiga Juventus ya Cristiano Ronaldo kwa mabao 3-0  mchezo wa...

READ MORE

Zijue Sifa Mpya ya TECNO Spark 7

 TECNO Spark 7 kutokaKampuniyasimu TECNO ni kati ya simu bora iliyozingatia zaidi mahitaji ya mtumiaji. TECNO Spark 7 pamoja yakuwa...

READ MORE

Wafanyabiashara Geita Waanza Kustawi Kupitia GGML

IMEELEZWA kuwa marekebisho ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yaliyofanywa na Bunge mwaka 2018 na 2019, yameanza kuwanufaisha wafanyabiashara...

READ MORE

Mtoto Aliyezaliwa na Miezi 5 Arejea Nyumbani

MTOTO anayedhaniwa kuwa mdogo zaidi ulimwenguni wakati wa kuzaliwa ameruhusiwa kutoka hospitali ya Singapore baada ya matibabu ya miezi 13....

READ MORE

Vodacom Tanzania Yasambaza Mtandao 4G Kwenye Vituo Zaidi ya 1800

    Kampuni ya Mtandao wa Vodacom Tanzania mpaka Sasa umeshapeleka mtandao wa 4G kwenye vituo zaidi ya 1800 na...

READ MORE

Binti Aliyefia Kanisani Wakati Akijifungua, Aibua Ghadhabu Kali

Polisi nchini Zimbabwe wanachunguza kifo cha msichana mwenye umri wa miaka 14-kilichotokea wakati anajifungua, kesi hiyo imeibua hisia mbalimbali miongoni...

READ MORE

Nafasi ya kazi DORCO, Country Manager

Country Manager   DORCO CO.LTD  Dodoma, Tanzania Country Manager for Tanzania market A worldwide leading manufacturer specializing in shaving products...

READ MORE

Sakata la Chanjo! CCM Yamuonya Polepole

KATIBU Mkuu wa Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Kenani Laban Kihongosi amesema wanasikitishwa na matendo yanayofanywa na...

READ MORE

Askofu Gwajima Akanusha Kulishwa Sumu

ASKOFU wa kanisa la Ufufuo na Uzima  Josephat Gwajima, amekanusha madai kuwa amelishwa sumu kutokana na msimamo wake kuhusu chanjo....

READ MORE

Video: Pole Pole, Gwajima Waweka Ubunge Rehani|Lissu Afunguka Mazito Kesi | Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Mke wa Tshabalala – “Nimeumia Kutukanwa Instagram, Aliniambia ana Mtu, Nimuache Kwanza”

Mke Wa Tshabalala – “Nimeumia Kutukanwa Instagram, Aliniambia Ana Mtu, Nimuache Kwanza” 

READ MORE

Magazeti ya Leo Jumatatu, Aug 9, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 9, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mwili wa Waziri Kwandikwa Wawasili Nyumbani Kwao

MWILI wa aliyekuwa mbunge wa Ushetu Wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga Elias Kwandikwa ,tayari umewasili nyumbani kwake kijijini Butibu_Kinamapula katika...

READ MORE

Zitto: Chanjo Dhidi Ya Corona Ni Salama

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe licha ya kuipongeza Serikali kwa hatua ya kuruhusu chanjo ya corona kuingizwa nchini,...

READ MORE