×

Shirika la Bima Zanzibar kutanua Huduma zake kupitia Shirika la Posta

  NA MWANDISHI WETU Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC) limeingia makubaliano ya kiutendaji na Shirika la Posta nchini (TPC)...

READ MORE

Mzee Mpili Uso Kwa Uso na Utopolo vs Simba Ulaya

KARIBU utazame ‘KIPINDI MAALUM’ kutoka Global Radio & TV ambacho kimewakutanisha mashabiki kindakindaki wa Simba na Yanga, Mzee Mpili, Mzee...

READ MORE

Zuchu Aja na Home Coming Show – Video

MREMBO kutoka Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Othuman ‘Zuchu’ anatarajia kufanya shoo kubwa maarufu kwa jina la Home Coming pande...

READ MORE

Rayvanny Ampa Ujumbe wa Bethidei Paula, Full Mahaba

STAA wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ ameendelea kujilipua kuonesha mahaba kwa mpenzi wake, Paula ambapo leo Julai 15 amemtakia...

READ MORE

Waandamanaji Afrika Kusini Wapora Chanjo za Covid

Mamlaka ya Usimamizi wa Maduka ya Madawa Afrika Kusini (SACP), imeelezwa kusikitishwa kwake na vitendo vya waandamanaji nchini Afrika Kusini,...

READ MORE

CEOrt Waandaa Kongamano la Fursa ya Kukuza Uchumi

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba akizungumza jijini Dar es Salaam kwenye kongamano la wajumbe wa CEOrt...

READ MORE

Mzee Mpili: Hii ni Zawadi ya Haji Manara – Video

SHABIKI maarufu wa Klabu ya Yanga, Mzee Haji Omari maarufu kama ‘Mzee Mpili’ amempa zawadi ya tisheti Msemaji wa Klabu...

READ MORE

Rwanda Yatangaza Siku 10 za ‘Lockdown’

SERIKALI ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya...

READ MORE

Messi Barcelona Hadi 2026

STAA wa soka wa kiwango cha Dunia wa Argentina, Lionel Messi amekubali kusalia Barcelona katika mkataba ambao utamuweka kwenye klabu...

READ MORE

Simba Yamzawadia Mgosi Ndinga Kali

UONGOZI wa Klabu ya Simba umemzawadia kocha mkuu wa timu ya wanawake ya klabu hiyo Mussa Hassan Mgosi kwa kuiongoza...

READ MORE

Baba Ampa Mimba Mwanae wa Kumzaa, Alishampa Mwingine – Video

WASWAHILI wanasema ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni! Hebu vuta picha kichwani mwako, baba mzazi anafanya mapenzi kwa nguvu na...

READ MORE

Live:Tozo Mpya Za Simu Zaanza Kuuma Leo, Chadema, Msajili Jino Kwa Jino |Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Kirusi cha Corona Aina ya Delta Kinatajwa Kuwa ni Hatari

MKURUGENZI wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, ameonya kwamba ulimwengu uko katika “kipindi hatari” cha janga la...

READ MORE

Papa Francis Aruhusiwa Kutoka Hospitali

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Gemelli, Roma nchini Italia alikokuwa akitibiwa, zikiwa ni...

READ MORE

DPP Kuamua Hatma Hausiboi Aliyeua Familia Dar

JESHi la Polisi Mkoa wa Kinondoni limesema upelelezi kuhusu mauaji ya mama na watoto wake wawili wa kike umekamilika na...

READ MORE

Nafasi za kazi 10 Mining Commission, Technician II (Geology)

POST TECHNICIAN II (GEOLOGY) – 10 POST POST CATEGORY(S) WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES EMPLOYER Mining Commission APPLICATION TIMELINE: 2021-07-06...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 15, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 15, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Wateja Sabasaba Walivyovutiwa na simu Za TTCL

  SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata mafanikio makubwa katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 45 ya sabasaba 2021,...

READ MORE

NBC Yashikilia Tuzo ya Taasisi za Fedha

Dar es Salaam. Benki ya NBC nchini Tanzania, imeendelea kuwa kinara kwa mara ya nne mfululizo katika maonyesho ya Kimataifa...

READ MORE