×

Msanii D4vd Katika Tuhuma Nzito Za Mahusiano Na Msichana Wa Miaka 15

Msanii chipukizi wa muziki duniani, D4vd, amejikuta katikati ya tuhuma nzito baada ya kuripotiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 27, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Wasira Aungana na Dkt. Nchimbi Katika Mazishi ya Abbas Mwinyi

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira ameungana na Mgombea mwenza  wa Urais Dkt. Emmanuel Nchimbi na...

READ MORE

Benki Ya Exim Ikishirikiana Na Mind Matters Yaunga Mkono Mafanikio Ya Wanawake Kupitia Mafunzo Ya ‘Mindful Leadership’

Dar es Salaam, 27 Septemba 2025: Benki ya Exim Tanzania, kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi Wanawake (Women Empowerment Program...

READ MORE

Meridianbet Yagawa Vifaa Kinga kwa Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi

Ikiwa ni sehemu ya dhamira yake ya kuchangia maendeleo ya jamii, kampuni ya Meridianbet imeonesha moyo wa huruma kwa kugawa...

READ MORE

Mgogoro Wa Nyumba Msasani: Mjane Aomba Zuio La Muda

Alice Hause ambaye ni Mjane wa marehemu Justice Rugaibula leo September 25,2025 amewasilisha maombi madogo Na.24541/2025 katika Mahakama Kuu, Divisheni...

READ MORE

Rais Samia Na Viongozi Wengine Wamfariji Dkt. Mwinyi Kufuatia Kifo Cha Kaka Yake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amepokea mkono wa pole kufuatia kifo...

READ MORE

Yas na ZTE Wazindua BLADE A36 na A76 Kukuza Matumizi ya Simu za Mkononi na Huduma za Kidigitali

Dar es Salaam – 26 Septemba 2025: Katika jitihada za kuongeza upatikanaji wa simu za mkononi na kukuza matumizi ya...

READ MORE

Rais Mstaafu wa Ufaransa Ahukumiwa Miaka Mitano Gerezani

Paris, Ufaransa – Rais mstaafu wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani, baada ya kupatikana na hatia...

READ MORE

Harmonize na Sanchi Wazua Gumzo, Mashabiki Wadai Ni Wapenzi

Mrembo maarufu na msanii wa mitindo nchini Tanzania, Surraiya Rimoy maarufu kama Sanchi (@surraiyaworld), anadaiwa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi...

READ MORE

Gianni Infantino Asimama Na Amani, Ataka Ulimwengu Kuwaunganisha Watu Kupitia Kandanda

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, ametoa wito wa amani duniani, akisisitiza haja ya kulinda utu wa...

READ MORE

Ajira Mpya: Halmashauri ya Mbulu Yatangaza Nafasi 4 za Dereva

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi baada ya kupata kibali...

READ MORE

Mwili wa Hayati, Askofu Mkuu Novatus Rugambwa Umeagwa Roma – Italia

Kardinali Pietro Parolin, Katibu wa Vatican, ameadhimisha Misa Takatifu kwa ajili ya kumwaga Hayati, Askofu Mkuu Novatus Rugambwa katika Kanisa...

READ MORE

Kwa Nini Supu ya Kongoro Ni Maarufu? Hizi Ndizo Sababu

Supu ya kongoro ni moja ya vyakula vinavyopendwa sana barani Afrika, hususan Tanzania, ambapo mara nyingi huliwa hasa asubuhi au...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 26, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Mwanaridha Simbu Atoboa Siri ya Ushindi Riadha Tokyo, Aelekeza Shukrani NBC Dodoma Mathon

Mwanaridha wa kimataifa wa Tanzania na mshindi wa mbio ndefu za Mashindano ya Kimataifa ya Riadha ya Tokyo Alphonce Simbu...

READ MORE

Jenerali Mkunda Ampongeza Sajinitaji Simbu 

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amempongeza Sajini Alphonce Simbu kwa ushindi wa medali ya dhahabu katika...

READ MORE

Cheza Aviator, Ushinde Samsung A26 Mpya – Meridianbet Inawaletea Wachezaji Fursa Ya Kubashiri Na Ushindi Mkubwa!

Meridianbet, kampuni inayoongoza katika michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni, inawapa wachezaji wake fursa ya kipekee ya kushinda Samsung A26...

READ MORE

Mtoto wa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Abbas Ali Mwinyi, Afariki

Mtoto wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Hayati Ali Hassan Mwinyi, Ndugu Abbas Ali Mwinyi, ambaye pia ni kaka...

READ MORE

Tshisekedi: DRC Haitauza Rasilimali kwa Bei Rahisi kwa Marekani

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, ametangaza kuwa licha ya msaada wa Marekani katika upatanisho wa...

READ MORE