×

USA na Australia Kusaka Uongozi wa Kundi D Leo – Kombe la Dunia

Mechi ya Leo Juni 19 saa 22:00 usiku katika Uwanja wa Lumen Field, Seattle, ni pambano la kileleni katika Kundi...

READ MORE

Waziri Mkuu: Ufugaji Wa Kisasa Ni Jawabu La Migogoro Ya Wakulima Na Wafugaji

WAZIRI Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wafugaji nchini kuanzisha mashamba ya malisho na kutumia teknolojia za kisasa za ufugaji ili...

READ MORE

Mambo ya Kushangaza Kuhusu Nyuki Malkia na Mfumo Wao wa Uzazi

Nyuki ni miongoni mwa viumbe wenye mifumo ya maisha inayovutia na kushangaza zaidi duniani. Tafiti za kisayansi zinaonyesha kuwa nyuki...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada kwa Hospitali ya Kinondoni Kupitia Programu za CSR

Meridianbet imeonesha upendo wa kweli kwa jamii kupitia mchango wake katika Hospitali ya Kinondoni, ikiwa ni sehemu ya programu zake...

READ MORE

Kim Kardashian Aonyesha Nguvu ya Utajiri Wake wa Mabilioni

Nyota wa vipindi vya Televisheni na mjasiriamali, Kim Kardashian, anaendelea kuishi maisha ya kifahari yanayoakisi utajiri wake unaokadiriwa kufikia dola...

READ MORE

Kampuni ya Ujenzi Yatangaza Nafasi za Kazi kwa Civil Technicians, Dar

JOB VACANCY – CIVIL TECHNICIANS A reputable construction company is looking for qualified and motivated Civil Technicians to join our...

READ MORE

Jumba la Sultan wa Brunei Lavunja Rekodi Duniani, Lina Vyumba 1,788 na Mabafu 257

Jumba la kifalme la Istana Nurul Iman, makazi rasmi ya Sultan Hassanal Bolkiah, linakadiriwa kuwa na thamani ya dola bilioni...

READ MORE

Mabaunsa Wavamia Nyumba Ya Mjane Wa Mchungaji Mtikila, Kisa Mkopo Wa Milioni 250 Aliomdhamini Mtu – Video

Nyumba ya mjane wa marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, Bi. Georgia Christopher Mtikila, iliyopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam, imekumbwa...

READ MORE

TANGAUWASA Yatangaza Nafasi 5 za Kazi, Mwisho wa Maombi Juni 30, 2026

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), kwa niaba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Tanga...

READ MORE

Bilionea Mulokozi Asimulia Uchungu wa Kumpoteza Mfanyakazi Wake Tegemeo Silayo – Video

Bilionea Mulokozi amefunguka kuhusu majonzi aliyoyapata baada ya kumpoteza mmoja wa wafanyakazi wake muhimu, Goodluck Didas Silayo, aliyefariki dunia kufuatia...

READ MORE

Ruto Aialika Arsenal Kutembelea Kenya Baada ya Sherehe za Ubingwa

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema ameialika klabu ya Arsenal kutembelea Kenya baada ya kushuhudia namna mashabiki wa timu hiyo...

READ MORE

Serikali Yakiri Shule Iliyojengwa na NMB Ina Viwango

Serikali imeipongeza NMB Bank Plc kwa kujenga shule ya sekondari ya bweni kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wilayani Bahi, mradi...

READ MORE

Sababu Mpya kwa Nini Wanaume Wengi Hawaoi Siku Hizi?

RAFIKI, kumekuwa na maswali yasiyo na majibu miongoni mwa jamii kwamba imekuwaje vijana wa kiume wamekuwa ni waongo hasa linapokuja...

READ MORE

Fahamu Tunda la Zabibu Linavyosaidia Moyo, Ubongo na Ngozi

Zabibu ni miongoni mwa matunda yenye virutubisho vingi vinavyosaidia kuimarisha afya ya mwili. Hapa ni baadhi ya faida zake: 1....

READ MORE

Waamuzi Wasimamishwa Mechi Tano, Simba Yapigwa Faini ya Milioni 10

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imewaondoa kwenye orodha ya waamuzi kwa...

READ MORE

Kauli ya Paula Kajala Yawaacha Mashabiki na Maswali Mitandaoni

Mrembo na staa wa mitandao ya kijamii, Paula Kajala, amewavutia mashabiki wake baada ya kushiriki ujumbe wenye mafunzo kuhusu mahusiano...

READ MORE

Rais wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah Kuwasili Tanzania Kesho

Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania Juni 19, 2026 kwa ziara ya kitaifa, ikiwa ni ziara yake...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Asafiri kwa SGR Kutoka Dodoma hadi Dar – Picha

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, leo Alhamisi Juni 18, 2026, amesafiri kwa treni ya kisasa ya Standard Gauge Railway...

READ MORE

Fahamu Majabu 7 Usiyoyajua ya Papai kwa Afya ya Binadamu

PAPAI ni tunda linalopendwa na watu wengi kutokana na ladha yake tamu na faida zake nyingi kiafya. Tunda hili hupatikana...

READ MORE

Yanga Yarejea Kileleni Baada ya Kuizamisha Fountain Gate Arusha

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo Juni 18, 2026 wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya...

READ MORE