×

Nilichoka Na Kejeli Za Watu Kuhusu Ndoa Yangu, Hatua Niliyopiga Ilibadilisha Maisha Yetu

Kwa muda mrefu, majirani na marafiki walinicheka kwa sauti ya chini kila waliponiona. Walijua ndoa yangu ilikuwa janga. Mume wangu...

READ MORE

Video: Simba Yatengana na Kocha Fadlu Davids Baada ya Mwaka Mmoja

Uongozi wa Klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kocha wake mkuu, Fadlu Davids, baada ya pande zote kufikia makubaliano...

READ MORE

Video: Moto Mkubwa Wateketeza Jengo Kariakoo, Chanzo Bado Hakijulikani

Dar es Salaam: Moto mkubwa umezuka leo katika jengo lililopo pembe ya mtaa wa Nyamwezi na Narung’ombe, eneo la Kariakoo...

READ MORE

Majaliwa Kuzindua Maonesho Ya Teknolojia ya Madini Geita

WAZIRI MKUU,Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2025 amefungua maonesho ya nane ya teknolojia ya madini kwa mwaka 2025 ambayo yamefanyika...

READ MORE

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Yakataza ACT-Wazalendo Kuwanadi Mpina na Fatma Ferej

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekionya chama cha ACT-Wazalendo kutoendelea kuwatambulisha Luhaga Mpina na Fatma Ferej kuwa wagombea...

READ MORE

Mwalimu Afukuzwa Kazi kwa Kumwadhibu Mwanafunzi Kikatili Kinondoni

Uongozi wa Shule ya Sekondari Makumbusho iliyopo Wilaya ya Kinondoni imemuondoa kazini Mwalimu Felix Msila kutokana na tukio la kutoa...

READ MORE

Majaliwa Asema CCM Imejipanga Kuendelea Kuleta Maendeleo

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi...

READ MORE

Mahakama Kuu Yakataa Maombi ya Lissu ya Kurushwa Mubashara Kesi ya Uhaini

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Septemba 22.2025 imetoa majibu ya maombi yaliyowasilishwa Mahakamani...

READ MORE

Jasinta Makwabe Atoa Kauli Nzito Kuhusu Diamond Platnumz

Mwanamitindo maarufu wa Afrika Mashariki, Jasinta Makwabe ‘Candy Boo’, amewasha moto mitandao baada ya kudaiwa kutoa kauli nzito inayozua mjadala...

READ MORE

Cheza Super Heli, Shinda, Miliki Samsung Galaxy A25

Kwenye mchezo wa kasino mtandaoni, ushindi haupo tu kwenye namba, uko kwenye uzoefu, msisimko, na zawadi halisi. Meridianbet imeleta mapinduzi...

READ MORE

Puma Energy Extends Network With New Singida Service Station

Puma Energy Tanzania has officially extended its nationwide network with the launch of a state-of-the-art service station in Singida. The...

READ MORE

Vodacom Na Chama Cha Gofu Tanzania Waungana Kuunga Mkono Mchezo Wa Gofu

Dar es Salaam, 23 Septemba 2025: Vodacom Tanzania Plc kwa kushirikiana na Chama cha Gofu Tanzania, imejitokeza kama mdhamini mkuu...

READ MORE

Askari wa Gereza Njombe Ajitoa Uhai Baada ya Kumuua Mwenzake

Njombe – Askari wa Gereza la Njombe, Erasto Mlelwa (26) mwenye namba C.916 WDR, amefariki dunia baada ya kujirusha kutoka...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 22, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Niliibiwa Pesa Zangu Zote Benki, Lakini Hatua Niliyopiga Ilizirudisha Bila Hata Kupotea Shilingi Moja

Ilikuwa ni siku ya Ijumaa asubuhi nilipogundua kuwa akaunti yangu ya benki ilikuwa tupu. Nilipoingia kwenye app ya benki yangu,...

READ MORE

Dkt. Nchimbi: Heshima uliyonipa ni ya Wanaruvuma Wote

  MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema katika mikoa 11 ambayo tayari...

READ MORE

Malawi: Mutharika Aongoza Kwa Matokeo ya Awali, Chakwera Akiwa Nyuma

Lilongwe, Malawi – Rais wa zamani wa Malawi Peter Mutharika (85) ameibuka kinara katika matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu...

READ MORE

Cheza Meridianbet Missions Kwa Malengo, Shinda Bila Kikomo

Meridianbet imebadilisha kabisa namna ya kubashiri kwa kuzindua Meridianbet Missions, mpango wa kipekee unaogeuza kila mizunguko kuwa hatua ya ushindi....

READ MORE

Majaliwa: Rais Dkt Samia Anatambua Mchango Wa Madhehebu Ya Dini Katika Kuendeleza Maarifa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatambua kwa dhati mchango wa madhehebu ya dini...

READ MORE

Yanga, Simba, Azam na Singida zakamilisha rekodi ya ushindi Afrika

Vilabu vya Tanzania vimeendelea kutamba kwenye michuano ya kimataifa ya Afrika baada ya Simba SC na Singida Black Stars kusajili...

READ MORE