×

Zanzibar: Uchaguzi Urais, Wawakilishi Kufanyika Siku 2

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imetangaza Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa urais na uwakilishi utafanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020....

READ MORE

Orodha ya Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora

Orodha ya wachezaji 30 wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msimu wa 2019/2020 itakayotolewa Agosti 7, 2020.    ...

READ MORE

Fainali Kombe la FA: Arsenal vs Chelsea ‘Kukinukusha’ Kesho

Wikiendi hii pazia litafungwa kwenye moja ya mashindano maarufu Uingereza na Ulaya, Kombe la FA. Fainali ya kombe la FA...

READ MORE

TCAA Yafuta Kibali Ndege za Kenya Kutua Tanzania

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imefuta kibali kilichokuwa kikiruhusu ndege za Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kutua...

READ MORE

Khadija Kopa: Aanika Hasira za Zuchu

MAMA mzazi wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuhura Othman Kopa ‘Zuchu’, Khadija Kopa amefichua siri kumhusu bintiye kwamba...

READ MORE

Lulu Diva: Ugomvi na Nandy ni Utoto

MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amesema ugomvi unaodaiwa ulikuwepo kati yake na msanii mwenzake Faustina Mfinanga ‘Nandy’...

READ MORE

Nandy: Tuna Baraka Zote za Wazazi

MREMBO mwenye Bongo Fleva yake, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema kuwa yeye na mchumba wake William Lyimo ‘Billnass’ wana baraka zote...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Agosti 1, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 1, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mama Afungukia Wema Kuzimia

MAMA mzazi wa msanii wa filamu nchini Wema Sepetu, Miriam Sepetu amefungukia ishu ya mwanaye kudaiwa kuanguka na kuzimia. Mwishoni...

READ MORE

Dogo Janja: Amwagia Sifa ‘Baby’ Wke

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Abdulazizi Chande almaarufu “Dogo Janja” amefunguka kuwa mchumba wake yupo tofauti na wanawake wengine...

READ MORE

Rutanga: Nimesaini Yanga, Kutua Nchini

NI rasmi sasa beki wa kushoto wa kimataifa wa Rwanda anayeichezea Rayon Sports, Eric Rutanga ni mali ya Yanga baada...

READ MORE

Yanga Yatua Gor Mahia Kumalizana na Straika Kiboko

HESABU za mabosi wa Yanga kwa sasa ni kuhakikisha wanamalizana na straika, Dickson Ambundo ambaye alikuwa anaichezea Gor Mahia ya...

READ MORE

Tuzo za Mo Dewji Simba Zayeyuka

UONGOZI wa Klabu ya Simba umefunguka kuwa safari hii hawatarajii kuwa na Tuzo za Mo kama walivyofanya misimu miwili iliyopita...

READ MORE

Dkt. Shein Aaga Rasmi Zanzibar

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, ametumia Baraza la Eid, lililofanyika Bumbwini,...

READ MORE

Morrison Alia Asema Kukamatwa na Polisi ni Njama

NYOTA raia wa Ghana, Bernard Morrison ameingia katika sekeseke jingine baada ya kukamatwa na kushikiliwa kwa muda na Polisi wa...

READ MORE

Lindi: Kikwete Aongoza Swala ya Eid El-Adha

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne  Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya waumini wa dini ya Kiislam katika swala ya Eid...

READ MORE

Denti Kidato Cha Tano Aandaa Maonesho Ya Picha

Rania Nasser ambaye ni Mwanafunzi wa Kidato cha Tano ameandaa maonyesho ya picha yanayojulikana kama ‘Watu wa Tanzania’ ambayo yatafanyika...

READ MORE

Mwanamke Kortini Kunyanyasa Kingono Watoto wa Jirani

MWANAMKE  mmoja anayefahamika kwa jina la Irene James mwenye umri wa miaka 36 amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Tabora akituhumiwa...

READ MORE