×

Majaliwa: Vijana Wenye Elimu Ya Dini Ni Nguzo Muhimu Ya Maendeleo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema vijana wenye elimu na maarifa ya dini ni nguzo muhimu ya ustawi na maendeleo katika...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Akishiriki Maadhimisho Ya Siku Ya Wanawake Duniani (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanalea kizazi chenye maadili...

READ MORE

Bodi ya Ligi Yatangaza Kuahirisha Mchezo wa Derby ya Kariakoo

Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati yake ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha mchezo...

READ MORE

ODDS KUBWA na Machaguo Zaidi ya 1000 Yapo Hapa

Jumamosi ya leo ni siku ya wewe kuondoka na tabasamu kubwa kabisa ndani ya Meridianbet kwani kuanzia pale EPL, LALIGA,...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Arusha Kuongoza Maadhimisho Siku Ya Wanawake Duniani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluh Hassan amewasili Mkoani Arusha na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Yanga Yatoa Tamko Mchezo Dhidi Ya Simba Uko Pale Pale

Hali ya mpambano kati ya Simba SC na Yanga SC imechukua sura mpya ya sintofahamu. Simba SC wamesema hawatacheza mechi...

READ MORE

Simba Yatoa Tamko Kuelekea Derby ya Kariakoo ‘Yatangaza Kususia Mechi’ leo

Klabu ya Simba imesema imesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana dhidi ya Timu hiyo kuelekea Mchezo wa Ligi Kuu NBC...

READ MORE

Makalla: Rais Samia Ameweka Historia ya Maendeleo

Katibu wa NEC, Itikadi  Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya maendeleo kwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 8, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Mabinti Zaidi ya 3000 Wawezeshwa Program ya Kompyuta, Code Like A Girl

Dar es Salaam, 7 Machi 2025: Kuelekea wiki ya Wanawake Duniani, Vodacom Tanzania imewapa vyeti wasichana walioshiriki Program ya Code...

READ MORE

Tume ya Haki za Binadamu Inachunguza Haki za Binadamu na Utawala Bora Viwanda vya Pwani

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeanza ziara ya wiki mbili wakifanya uchunguzi wa kero na malalamiko...

READ MORE

Aziz Ki Hatihati Kuikosa Dabi, Kocha Ashusha Presha

KUELEKEA Kariakoo Derby, Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Zelinsky Kusafiri Hadi Sauz Kukutana Na Ramaphosa

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky anatarajiwa kusafiri hadi Pretoria, Afrika Kusini kwenda kukutana na Rais Cyril Ramaphosa mnamo April 10,...

READ MORE

Uganda Yazidi Kukumbwa na Mlipuko wa Ebola

Idadi ya visa vya Ebola nchini Uganda imeongezeka hadi 14 wiki hii, kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia...

READ MORE

Wananchi wa Arusha Ni Mwendo Wa Kula Nyama Bure leo

  Vijana wajasiriamali wanaojishughulisha na uchomaji wa nyama Mkoani Arusha wameeleza kuendelea vyema na maandalizi ya Usiku wa nyama Choma...

READ MORE

Makalla : Hakuna Mtu Kupita Bila Kupingwa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimefanya mabadiliko katika mchakato wa upatikanaji wa wagombea kuelekea uchaguzi mkuu, hakuna kupita bila kupingwa...

READ MORE

Kiu Yako ya Ushindi Inatimia Leo Hii Italia, Ufaransa na Hata Kule Saudia

Je unajua kuwa kiu yako ya kutaka ushindi inaweza kutimia siku ya leo ukiwa a wakali wa ubashiri Meridianbet?. Pale...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini...

READ MORE

Kipa Wa Zamani Wa Simba, Yanga Auwawa Kwa Kuchomwa Moto

Taarifa za kusikitisha zilizotufikia zinadai kwamba aliyewahi kuwa golikipa wa Klabu ya Simba miaka ya nyuma, raia wa Jamhuri ya...

READ MORE

Asilimia 90 Ya Kipato Cha Mwanamke Hutumika kwa Ajili Ya Familia

Katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na...

READ MORE