×

Rais wa China Xi Jinping Ambatana na Rais Samia katika ukumbi kwa ajili ya kushiriki hafla ya chakula cha jioni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Benki ya NBC Yaingia Makubaliano Kutoa Huduma Mahususi Zenye Upendeleo Kwa Wafugaji.

  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji na Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT) yanayolenga...

READ MORE

NMB Yakabidhi Hundi ya Milioni 50 Kwa Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Kwa Ajili ya Ujenzi wa Shule ya Wavulana ya Bunge

BENKI ya NMB imekabidhi Hundi ya Shilingi milioni 50 kwa Naibu Waziri Mkuu Dk Dotto Biteko kwa ajili ya ujenzi...

READ MORE

Wizara ya Maji na Kilimo Kushirikiana Miradi ya Maji na Umwagiliaji Ziwa Victoria na Tanganyika

Viongozi wawili wa Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maji wamekutana leo tarehe 4 Septemba 2024 jijini Dodoma na kuahidi...

READ MORE

Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Mzimu wa Afrika Zaidi ya Nchi 10 Zakutana Hapa Nchini

Dk. Riziki Mkali Malela akizungumza na wanahabari.                           ...

READ MORE

Mwenezi CPA Makalla Apokelewa Arusha Tayari Kuanza Ziara

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Amos Makalla amewasili Mkoani Arusha tayari kuanza ziara yake ya siku 6...

READ MORE

Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Aishukuru Kamati ya Bunge la Ushelisheli kwa Kutambua Thamani

Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othuman ameishukuru Kamati ya Kudumu ya Bunge, Ulinzi na Mambo ya Nje...

READ MORE

Mjue Mtendaji Mkuu Wa Fountain Gate Thabita Kidawawa, Aliyepitia Misukosuko Hadi Leo Amesimama – Video

Mtendaji mkuu wa klabu ya Fountain Gate FC, Bi. Thabita Kidawawa aliyepitia changamoto mbalimbali katika soka lakini mpaka leo bado...

READ MORE

China, Tanzania, Zambia Zakubaliana kuboresha reli ya TAZARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping pamoja...

READ MORE

Njia Rahisi ya Kuvuta Wateja na Kuongeza Mtaji Katika Biashara Yako

Ukweli ni kwamba kila binadamu anapenda kuona anakua katika biashara ambayo anaifanya, anapenda kuona biashara yake inaongezeka mtaji, biashara yake...

READ MORE

Tanzania Na Indonesia Kushirikiana Katika Udhibiti Wa Dawa

Tanzania na Indonesia zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika kujengeana uwezo na kubadilishana uzoefu kwenye masuala ya usajili, ukaguzi...

READ MORE

Mjumbe wa UVCCM Akabidhi Simu Tisa na kadi za Uanachama 1000 Tanga

Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) viti vitatu Bara, Shamira Mshangama amekabidhi Simu...

READ MORE

Marekani Yawashtaki viongozi wa Hamas kwa shambulio la Oktoba 7 dhidi ya Israel

Marekani imemfungulia mashtaka Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar na watu wengine kadhaa mashuhuri katika kundi hilo la Palestina kuhusiana na...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Kikomo Ya Mafuta Kuanzia Leo

EWURA inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 4 Septemba 2024 saa...

READ MORE

Waziri Kombo Aongoza Ujumbe Wa Tanzania Kwenye Mkutano Wa Mawaziri Wa FOCAC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza ujumbe wa Tanzania...

READ MORE

Mzee Magoma Asimulia Mkasa Wa Maisha Yake, Alivyotupwa Na Baba’ake – Video

 Mzee Juma Magoma amepiga stori na Global TV na kufunguka mambo mengi kuhusu maisha yake, likiwemo suala la wazazi...

READ MORE

Ndugulile Ahutubia Bungeni, ”Wanaohoji Jimbo La Kigamboni Lipo Wazi, Bado Lina Mbunge” – Video

Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ambae siku chache zilizopita alichaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani, Kanda ya Afrika,...

READ MORE

Mahakama ya Iran yampa adhabu ya kifo mwanajeshi

Mahakama ya Juu ya Iran, imekubali hukumu ya kifo iliyotolewa kwa mwanachama wa tawi la kujitolea la Jeshi la Mapinduzi...

READ MORE

Babu wa TIKTOK Aomba Radhi, Aongezewa Adhabu ya Faini

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro ameongeza adhabu ya faini kutoka shilingi milioni 3 hadi milioni 5 kwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 4, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE