×

Rais wa Angola Awasili Nchini Kwa Ziara ya Kitaifa ya Siku Tatu

Rais wa Jamhuri ya Angola, João Manuel Gonçalves Lourenço, amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu inayolenga kuimarisha...

READ MORE

Rais Samia Ateua Viongozi Watatu, Atengua Uteuzi wa Mkuu RC Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi watatu katika nafasi mbalimbali za...

READ MORE

Ajali Ya Treni Hispania: Wafu 64 Wathibitishwa Kufariki na 80 Kujeruhiwa, Waziri Mkuu Afunguka

HISPANIA: Takribani watu 64 wamefariki dunia na zaidi ya 80 kujeruhiwa baada ya treni mbili za mwendo kasi kugongana katika...

READ MORE

Makonda Akutana na Miss Grand International Jihan Dimack Bungeni

Mshindi wa taji la Miss Grand International, Jihan Dimack, amekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda,...

READ MORE

Polisi Wahitimisha Mafunzo ya Udereva Kwa Vijana 114, Wakabidhi Leseni Bure

Vijana 114 wanaoishi katika mazingira magumu ya kimaisha wamekabidhiwa leseni za udereva bure Mkoani Arusha baada ya kuhitimu mafunzo ya...

READ MORE

Yanga na Simba Kukabiliana na Miamba Ligi ya Mabingwa Afrika

Timu za Tanzania, Young Africans (Yanga SC) na Simba SC, leo Oktoba 28, 2026 zimepangwa katika makundi tofauti ya Ligi...

READ MORE

Azam, Singida Black Stars Wapata Wapinzani Kombe la Shirikisho

Timu za Tanzania, Azam FC na Singida Black Stars, zimejua wapinzani wao katika hatua ya makundi ya michuano ya Kombe...

READ MORE

Mwigulu Atua Urusi Kumwakilisha Rais Samia Katika Mkutano

MOSCOW, URUSI: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Moscow, nchini Urusi, leo Oktoba...

READ MORE

Matokeo ya Uchaguzi Israel Yampa Netanyahu Nafasi ya Kuendelea Madarakani – Video

JERUSALEM, Oktoba 28, 2026 — Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amepata uungwaji mkono mkubwa kuliko ilivyotarajiwa kutoka kwa wapiga...

READ MORE

Miss Grand International 2026 Jihan Atembelea Bunge, Apongezwa na Wabunge – Video

Mshindi wa taji la Miss Grand International 2026, Jihan Dimack, leo Oktoba 28, 2026, ametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Unatafuta Kazi? Global Tv Yatangaza Nafasi Mpya, Mwisho wa Maombi Oktoba 30, 2026

Dar es Salaam. Global TV Online imetangaza nafasi ya kazi ya Meneja wa Uundaji wa Maudhui ya Kidijitali (Digital Content...

READ MORE

Inter Milan Kazi Wanayo! Venezia Wawasubiri Kwenye Uwanja Wao leo

Baada ya kuwepo na uvumi kuwa pesa ipo benki hapa kwa wakali wakutoa odds mzigo wao pesa wameiweka wazi kazi...

READ MORE

Kabudi Atoa Onyo kwa Taasisi Zilizopanga Kwenye Majengo ya Umma, Watakiwa Mtumba

Serikali imewaagiza watumishi wa umma na taasisi za Serikali zilizokuwa zimepanga katika majengo mengine ya umma kuyaachia na kurejea katika...

READ MORE

Arsenal Yadhalilishwa na Fleetwood, Arteta Asema ni Siku ya Huzuni

FLEETWOOD, UINGEREZA — Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, ameelezea kipigo cha kushtua cha timu yake dhidi ya Fleetwood Town kuwa...

READ MORE

Kindege cha Aviator cha Meridianbet Kukpa Ushindi Kila Kinapopaa

Kwenye ulimwengu wa burudani ya mtandaoni, kuna michezo inayokufanya ubaki makini kuanzia mwanzo hadi mwisho, na Aviator ya Meridianbet ni...

READ MORE

Magereza Yakanusha Kuzuiwa Mawakili wa Lissu Kumuona Gerezani

Jeshi la Magereza Tanzania limekanusha madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa chama hicho,...

READ MORE

Uchaguzi Israel: Matokeo ya Awali Yatikisa Kambi ya Netanyahu, Serikali Mpya Bado Kitendawili

Yerusalemu, Israel — Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na mpinzani wake Gadi Eisenkot wametoa kauli zinazokinzana kuhusu nani anayepaswa...

READ MORE

TBL na VETA Zaungana Kuwawezesha Vijana 300 Wa Kitanzania Kupata Ujuzi

Dar es Salaam, Tanzania, Jumatano, tarehe 28 Oktoba 2026 – Tanzania Breweries Plc (TBL) na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo...

READ MORE

Instagram Yazindua Mfumo Mpya wa Video Ndefu Mpaka Dakika 90

Baada ya kuiteka dunia kwa maudhui ya video fupi za wima (Reels), mtandao wa kijamii wa Instagram sasa unajiandaa kuchukua...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 28, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE