×

Mazishi ya Abdilah Mussa ‘Banjoo’ Yafanyika Sanawali, Arusha – Video

Arusha, Tanzania – Mwili wa mfanyabiashara wa madini, Abdilah Mussa, maarufu Banjoo, umezikwa nyumbani kwake, Sanawali, mkoani Arusha. Waombolezaji wakiwemo...

READ MORE

Simba Yaomboleza Kifo cha Baba wa Abdulrazak Hamza

Uongozi wa Simba SC umetangaza kwa masikitiko makubwa kifo cha baba mzazi wa mchezaji wake, Abdulrazak Hamza, Marehemu Mohamed Spea...

READ MORE

Jeshi la Polisi Laanza Uchunguzi Baada ya Kifo cha Banjo – Video

Jeshi la Polisi mkoani Arusha, limesema linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja aitwaye Abdilah Musa maarufu kwa...

READ MORE

Kihenzile Akagua Ujenzi wa MV Liemba na Uwanja wa Ndege Kigoma

Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amesema maendeleo ya mradi wa ukarabati wa Meli ya MV Liemba mkoani Kigoma yanaridhisha...

READ MORE

Dabi ya Kariakoo Kuhamia Zanzibar Rasmi – TPLB Yafafanua Sababu

Afisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda, ameeleza sababu za kuhamishwa kwa mchezo wa Dabi ya...

READ MORE

Shabbiy Yafanya Maboresho ya Vyoo na Kituo Kikuu cha Upakiaji Abiria Dodoma

Kampuni ya mabasi ya Shabbiy, imekamilisha maboresho makubwa ya vyoo katika Kituo Kikuu cha Upakiaji Abiria jijini Dodoma, ambavyo awali...

READ MORE

Kwa Taarifa Zaidi Ingia Meridianbet Sport Portal

Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Mradi wa Barabara ya Spencon–Mabogini–Kahe–Chekereni

▪️Aagiza ijengwe na TANROADS ili iwe bypass ya kupunguza msongamano mjini. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 20, 2026...

READ MORE

Polisi Wathibitisha Kuachiliwa kwa Andrew Huku Faili za Epstein Zikitajwa

Andrew Mountbatten-Windsor ameachiwa huru huku uchunguzi ukiendelea kufuatia kukamatwa kwake kwa tuhuma za utovu wa nidhamu katika ofisi ya umma....

READ MORE

Rais Samia Aomboleza Kifo cha Kardinali Pengo

  Rais Samia Suluhu Hassan ameomboleza kifo cha Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar...

READ MORE

Jamaa Ambananisha Chalamila Sakata La Mgogoro Mabibo – Video

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.

READ MORE

Meridianbet Yachochea Mapinduzi ya Usafi Kinondoni kwa Msaada wa Mapipa ya Taka

Katika hatua ya kuunga mkono juhudi za kulinda mazingira na afya za wananchi, Meridianbet imetoa mapipa ya taka katika maeneo...

READ MORE

Kihongosi: TIA Kigoma Itakuwa Mkombozi wa Mkoa

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi alisema ujenzi wa kampasi ya...

READ MORE

Kardinali Polycarp Pengo Afariki katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Dar

Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Cardinal Pengo, amefariki dunia jana Februari 19, 2026 majira...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Ashiriki Futari Na Makundi Mbalimbali, Ikulu ya Tunguu Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki futari na makundi mbalimbali ya wananchi katika...

READ MORE

Nafasi ya Kazi: Sales and Marketing Officer – Wezesha Mzawa Microfinance

Position: Sales and Marketing Officer Location: Dar es Salaam Employment Type: Full-time Application Deadline: February 20, 2026 About Us: We...

READ MORE

Dalili za Upungufu wa Testosterone na Suluhisho Asilia Kwa Mwanamke

Testosterone ni homoni muhimu kwa mwanaume, lakini pia ipo kwa kiwango kidogo kwa mwanamke. Homoni hii ina mchango mkubwa katika...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 20, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Ndani ya Mfungo Oryx Gas Yaja na Pishi la Kibabe

ni Katika kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Oryx Gas imezindua kampeni ya msimu wa mwezi...

READ MORE

Prince Andrew Akamatwa Uingereza Kufuatia Uchunguzi wa Kesi ya Epstein

Mwana wa familia ya kifalme ya Uingereza, Prince Andrew, amekamatwa na polisi nchini Uingereza kufuatia uchunguzi unaohusishwa na nyaraka zinazojulikana...

READ MORE