×

Kubeti na Kitochi: Beti Bila bando Meridianbet-USSD Piga *149*10# BURE!

Ushindi unaendelea ukibeti na Meridianbet USSD Piga *149*10# BURE kutengeneza mkeka wako usipokuwa na Intaneti mahali popote Tanzania. Nafasi nyingine...

READ MORE

Watu 40 Wafariki Dunia, 78 Wajeruhiwa katika Ajali katika Kijiji cha Gnivy Senegal

Watu 40 wamefariki na 78 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani nchini Senegal. Rais wa Senegal Macky Sall, ameandika kwenye Twitter...

READ MORE

Fahamu Sababu Za Maumivu Ya Korodani, Nini Ufanye Upatapo Tatizo Hili

Wiki iliyopita tulieleza kwa urefu tatizo la kuvimba korodani, leo tunaendelea kufafanua tatizo hili na tutaeleza nini ufanye upatapo tatizo...

READ MORE

Usajili wa Yanga Kuitikisa Nchi Dirisha Dogo, Ally Kamwe Afunguka Kibabe

OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe, amefunguka kwamba, kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15, mwaka huu, watatikisa...

READ MORE

Mexico Yasitisha Kumpeleka Mtoto Wa El Chapo Marekani Baada Ya Watu 29 Kuuawa

JAJI wa Mexico City amesitisha zoezi la kumpeleka nchini Marekani, Joaquín ‘El Chapo’ Guzmán, ambaye ni mtoto wa mfanyabiashara mkubwa...

READ MORE

Simba Kambi Ya Kishua Dubai, Kocha Mbrazil Asuka Kikosi Kazi, Okwa na Akpan Waachwa

KIKOSI cha Simba, jana Jumamosi kiliondoka nchini kishua kwenda Dubai kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa na mashindano...

READ MORE

Ukraine Yapokea Silaha Za Kujikinga Na Makombora, Russia Imetengua Ndege Isiyo Na Rubani Ya Ukraine

Rais wa Ukraine Volodymr Zelenskyy amepongeza msaada wa silaha kutoka Marekani, unaojumuisha magari yenye uwezo wa kurusha makombora ya kuharibu...

READ MORE

Siku Hizi Ukijisajili Meridianbet Ukaweka Pesa Unashinda Bonasi Kubwa

Ofa za Meridianbet zinaendelea kutaradadi katika kila kona, ofa baada ya ofa, promosheni baada ya promosheni katika mwezi wenye mambo...

READ MORE

Rais Samia Ateua Emanuel Tutuba kuwa Gavana Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Emanuel Tutuba kuwa Gavana Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Tutuba ambaye alikuwa Katibu Mkuu Wizara...

READ MORE

Marekani: Mtoto Mwenye Umri wa Miaka 6 Ampiga Risasi Mwalimu wake Shuleni

Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 6 amempiga risasi na kumjeruhi mwalimu wake, katika jimbo la Virginia. Mwanafunzi huyo mvulana, amekamatwa...

READ MORE

Wazari Nape Azindua Mnara wa Mawasiliano Kalambo Mkoani Rukwa

UZINDUZI: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye @napennauye amezindua mnara wa mawasiliano katika eneo la...

READ MORE

Bolt Yafurahishwa na LATRA Mwongozo Mpya wa Bei za Usafiri

Dar es Salaam 08 Januari 2023. Kampuni ya Bolt inafuraha kukujulisha kuwa LATRA imetoa notisi ya gazeti la serikali namba...

READ MORE

TFF: Fei Toto Bado ni Mchezaji wa Yanga kwa Mujibu wa Mkataba

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeamua kuwa Feisal...

READ MORE

McCarthy Ashinda Uspika wa Bunge la Congress la Marekani kwa Mbinde

  Baada ya vuta nikuvute iliyochukua muda wa siku nne na kusababisha uchaguzi wa Spika wa Bunge la Congress nchini...

READ MORE

Jumuiya ya Wazazi CCM Kata Azimio Dar, Yatoa Msaada Zahanati Tambukareli

Dar es Salaam, 7 Januari 2023: Jumuiya ya wazazi Kata ya Azimio Temeke, Dar leo imetoa msaada wa vifaa tiba...

READ MORE

Video: Diwani Athumani; Kachero Aliyepita Mikono Ya Marais 3, Rais Samia Akamuamini Na Kumtengua Siku Ya 2

 Januari 3, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa viongozi wanne...

READ MORE

David Kafulila; ‘Jenerali’ Wa Siasa, Kakulia Chadema, Kang’ara NCCR, Kaula Kwa Rais Samia…Video

Rais Samia Suluhu Hassan aliwateuwa viongozi sita kuwa Wakuu wa Taasisi mbalimbali akiwemo, David Kafulila aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Mwanamke wa Australia Aliyeshtakiwa kwa Ugaidi Aachiliwa kwa Dhamana

  Mwanamke wa Australia ambaye ameshitakiwa kwa kuingia kwa hiari kwenye eneo linalodhibitiwa na kundi la Islamic State nchini Syria...

READ MORE

Hii ni Yako Mwamba wa Kubashiri, Meridianbet Wameongeza Odds Zao

EPL itasimama kupisha michuano ya FA ambayo timu za Uingereza zitakutana katika mbio za kumtafuta bingwa, huku Ligi kadhaa zikiendelea...

READ MORE

Nmb Yaanza Mwaka Kwa Kusambaza Upendo Kupitia MastaBataKoteKote

   Benki ya NMB imeanza mwaka kwa kusambaza upendo kupitia kampeni ya #MastaBataKoteKote kwa kumzawadia mshindi wa pikipiki mpya aina...

READ MORE