The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Shinda Nyumba Yakusanya Kijiji Dar

Afisa Masoko wa Global Publishers, Jimmy Haroub mwenye kofia akiwaelekeza jinsi ya kujaza kuponi za Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, mafundi makanika wa Mabibo Usafirishaji jijini Dar, muda mfupi kabla ya kuchezeshwa droo ya pili ya Bahati Nasibu hiyo.
Wanenguaji wakitoa burudani kwenye Soko la Kigogo Sambusa jijini Dar muda mfupi kabla ya kuelekea Viwanja vya CCM Mwinjuma ambapo droo ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili ilichezeshwa.

 

Wafanyabiashara wa Soko la Ndizi Mabibo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mr. Shinda Nyumba.
Umati ukishuhudia burudani kutoka kwa wanenguji gari la matangazo Bahati Nasibu hiyo lilipotia nanga Soko Soko la Ndizi Mabibo Dar.
Wafanyabiashara wa Soko la Ndizi, Mabibo wakifurahia burudani kutoka kwa wanenguaji (hawapo pichani).
Mr Shinda Nyumba akimkabidhi fulana ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba, Muhidin Hamadi wa Soko la Ndizi, Mabibo.
Wanenguaji wakitoa burudani kwenye umati uliofurika Soko la Ndizi, Mabibo.
Mshereheshaji wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, Chakushemungia akiwa na wafanyabiashara wa Soko la Ndizi Mabibo muda mfupi kabla ya kuwakabidhi zawadi za papohapo.
Afisa Masoko wa TING HD, James Rugaimukana akitoa ufafanuzi wa matumizi ya king’amuzi hicho kinachosifika kwa ubora.
Wasomaji wa magazeti ya Global katika Viwanja vya CCM Mwinjuma wakijaza kuponi dakika za lala salama kabla ya kucheshwa Bahati Nasibu hiyo.
Afisa Masoko wa TING akiwa tayari kuwahudumia wateja wanaohitaji ving’amuzi hivyo wakati droo ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili ikiendelea.
Mshereheshaji wa droo ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, Chaku Shemungia akitoa maelekezo ya kuchagua kuponi ya mshindi mbele ya umati uliofurika Viwanja vya CCM Mwinjuma.
Mashuhuda wakichanganya kuponi kabla ya kuchagua moja ya mshindi wa pikipiki.
.Mshereheshaji wa droo hiyo, Chaku Shemungia akimfunga kitambaa mmoja wa mashuhuda aliyetakiwa kuchagua kuponi moja ya mshindi.
Shuhuda wakisoma jina la mshindi.

Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli (kulia) na Afisa Mwandamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Humudi Abdulhussein wakifurahia jambo wakati mambo yakinoga.

LIVE: DROO YA PILI SHINDA NYUMBA ILIVYOFANYIKA DAR ES SALAAM.

 

PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS

Comments are closed.