Premiere Bet Yaitambulisha SB ZONE – Video
Kampuni ya Kubashiri ya Premiere Bet imetambulisha bidhaa yao mpya ya Premiere Bet SB ZONE ambayo itamuwezesha mteja wake kufurahia huduma hiyo kwa faida ambazo zipo kwenye huduma hiyo ya SB ZONE
Mteja atakuwa na nafasi ya kubashiri mechi 10 kwenye mkeka mmoja kabla ya dakika tano mechi kuanza. Kitu kizuri zaidi mteja atakuwa na chaguo la kupunguza timu tano (Cash Out) wakati mechi zikiwa zinaendelea.
Endapo atabaini kuwa zile tano nyingine zitampa mtonyo na kama atabeti zote 10 mkeka wake utagoma kutiki.
Ukumbuke kinachoangaliwa zaidi ni Odds zilizowekwa katika timu husika na siyo idadi ya mechi. SB ZONE inakupa chaguo unalolitaka.

