The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Awatembelea Mawaziri Wakuu Wastaafu Warioba na Msuya

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali leo tarehe 2 Desemba, 2021.

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amewatembelea mawaziri wakuu wastaafu, Cleopa Msuya na Jaji Joseph Warioba nyumbani kwako jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwajulia hali.

Msuya alishika wadhifa huo mara mbili, 1980-1983 na 1994-1995 huku Warioba akishika wadhifa huo 1985-1990.

Rais Samia akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya.
Rais Samia akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali leo tarehe 2 Desemba, 2021.

Leave A Reply