The House of Favourite Newspapers

Rose Ndauka: Niliumizwa sana na mapezi, inatosha!

 

MWIGIZAJI mahiri wa filamu Bongo Muvi, Rose Ndauka ameweka wazi kuwa mapenzi yalimuumiza sana lakini hakuyapa nafasi yaharibu maisha yake kwa sababu haoni sababu ya kufanya hivyo kama mtu aliyempenda wameonana tu ukubwani.

 

Akipiga stori na MIKITO, Rose alisema kuwa wasichana wengi wamepoteza mwelekeo kwa sababu mapenzi yamechukua nafasi kubwa maishani mwao, kitu ambacho mimi hakutaka kabisa maana maisha yanakuwa mazuri bila mapenzi.

“Kuna watu wanasema wameumizwa na mapenzi lakini ukweli ni kwamba mimi nilishaumizwa sana jamani, ila kuyapa nafasi ndio sitaki, yanapoteza dira ya maisha,” alisema Rose Ndauka.

Comments are closed.