The House of Favourite Newspapers

SAMATTA “Ushindi Kawaida Yangu/ Kwenda Manchester Mhh!!” – Video

NAHODHA wa Team Samatta na wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na mchezaji wa Timu ya KRC Genk ya Nchini Ubelgiji amezungumzia ushindi waliopata kwa uapande watimu yake katika Mechi ya #Nifuate iliyoshirikisha TEAM SAMATTA na TEAM KIBA.

 

Samatta amesema kuwa alikua na wachezaji ambao ni wataalamu na wanaujua sana na kwa msimu uliopita alikua na wachezaji hao hao hivyo Ali Kiba ajipange katika msimu ujao.

 

TAZAMA VIDEO HAPA

Comments are closed.