The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Shuhudia Niyonzima Alivyoanza Rasmi Mazoezi na Okwi Simba

0
simba ilivyopasha
Niyonzima (kushoto) akifanya mazoezi kwa kufuata maelekezo ya kocha msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja.
simba ilivyopasha
Mayanja akimnyoosha viungo, Niyonzima.

 

simba ilivyopasha
Niyonzima akipiga ‘kontroo’.
simba ilivyopasha
Nduda akiwa amechumpa hewani
simba ilivyopasha
Niyonzima akimsalimia Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe.
simba ilivyopasha
Wachezaji wakikontroo mpira.
simba ilivyopasha
. …Wakiendelea kupasha.
simba ilivyopasha
Mashabiki wakisukuma gari alilopanda Niyonzima wakati akiondoka.

KIKOSI cha Simba leo kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veterani uliopo Ununio jijini Dar ikiwa ni maandalizi ya bonanza lake la Simba Day linalotarajiwa kufanyika kesho Uwanja wa Taifa.
Katika mazoezi hayo kikosi hicho kiliwajumuisha wachezaji wake wapya akiwemo Haruna Niyonzima, John Boko, Emmanuel Okwi, Aishi Manula, Said Mohammed, Erasto Nyoni na wengineo.

 

Baada ya mazoezi

Baada ya mazoezi hayo mashabiki waliofika kuangalia jinsi simba ilivyopasha walishindwa kuzuia hisia zao na kuamua kulisukuma gari la Niyonzima huku wakimshangilia na kumkaribisha.

Leave A Reply