×

Simba SC Kamili Gado Kuiua Ruvu Shooting kKesho

Klabu ya Simba wakijifua.

 

KIKOSI cha Simba leo kimejinoa kwa mara ya mwisho kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wao wa kwanza dhidi ya Ruvu Shooting, utakachezwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.

Wakipasha misuli.

Simba wameingia mazoezini ikiwa ni siku mbili baada ya kuwachapa wapinzani wao wa jadi kwa bao 5-4 za penati na kunyakua Ngao ya Jamii juzi Jumatano.

Klabu ya Simba wakijifua.

Simba ambao wana hamu ya kulitwaa Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wameonekana kuwa fiti huku kikosi chao kikiwa kamili kuichapa kila timu itakayokuja mbele yao kwenye mechi za michuano ya Ligi hiyo itakayoanza Jumamosi hii kwenye viwanja tofauti hapa nchini.

Wakipasha misuli.

 

Wakiendelea kupiga mazoezi.

 

Ni shughuli.

 

Simba kazikazi.

 

NA Musa Mateja | GPL

Leave a Comment