The House of Favourite Newspapers

STAGE YA DIAMOND GEITA USIPIME, CHEKI MAANDALIZI YAKE!

Baada ya Jana kufanya maangamizi ya kufa MTU katika Uwanja wa Taifa wilayani Kahama, Mwanamuziki Diamond Platnumz, Leo Juni 06, atafanya maangamizi kama hayo tena katika stag hii ya Ukumbi wa Desire Park mkoani Geita.

SHUHUDIA HAPA

Comments are closed.