×

Tag: almasi

Waliouawa na Kujeruhiwa Mgodi wa Mwadui Kulipwa Mamilioni

HATIMAYE Kampuni ya Petra Diamonds ya nchini Uingereza inayomiliki mgodi wa almasi wa Williamson uliopo Mwadui, Shinyanga imekubali kulipa fidia...

READ MORE

Mchimbaji Shinyanga Apata Almasi ya Bil. 3, Awa Bilionea!

BAHATI ya utajiri imemdondokea mchimbaji mdogo wa madini, Joseph Temba, baada ya hivi karibuni kuuza almasi yake yenye karati 512...

READ MORE

GWAJIMA AMWAMBIA JPM: NILIPEWA BAKULI LA ALMASI – VIDEO

MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Rais Dkt. John Magufuli kuunda timu ya watu wenye...

READ MORE

ACACIA Wafanya Sherehe Kuwaaga Wafanyakazi Wao

Acacia yakamilisha usitishaji wa uchimbaji mgodi wa Bulyanhulu. Mgodi huo umepunguza wafanyakazi 1,200, wakandarasi 800, sasa wamebaki wafanyakazi 200. Ilielezwa...

READ MORE

Kisutu: Watathmini wa Almasi wa Serikali Wafikishwa Mahakamani

  Watathmini wa serikali wa almasi, Archard Kalugendo na Edward Rweyemamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini wamefikishwa katika Mahakama...

READ MORE

Vigogo Walionaswa na Shehena ya Almasi Airport Wapandishwa Kortini

WATUHUMIWA waliokamatwa na mzigo wa Almasi zenye thamani ya Sh 32.3 bilioni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

READ MORE

JPM Kupokea Taarifa ya Uchunguzi wa Tanzanite na Almasi

Rais Dkt. John Magufuli kesho Septemba 7 anatarajia kupokea taarifa ya uchunguzi ya madini ya Tanzanite na Almasi kutoka kwa...

READ MORE

Mwenyekiti Kamati ya JPM ya Makinikia, Muhongo, Ngeleja Kitanzini

KAMATI ya Bunge iliyoundwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai kuchunguza biashara ya madini ya Almasi na Tanzanite imependekeza wajumbe...

READ MORE

Dar: Almasi Ya Bilioni 32.8 Yanaswa Airport Ikipelekwa Ubelgiji

JESHI la Polisi limekamata almasi yenye uzito wa kilo 19.5 inayokadiriwa kuwa na thamani ya Sh. bilioni 32.8 katika Uwanja...

READ MORE