Rais Samia Atuma Salamu za Pole Kifo cha Askofu Charles Katale wa Kanisa la Moravian -Video
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameelezea kupokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha aliyekuwa Askofu wa Jimbo la Ziwa Tanganyika la Kanisa la Moravian nchini, Askofu Charles Katale.
…
