×

Tag: aslay

Aslay Afungukia Maisha Yake ya Starehe, Penzi la Nandy

NI kijana wa Temeke, alianza kufahamika mwaka 2011 baada ya kutoa ngoma iitwayo Nakusema, alitamba pia akiwa chini ya Band...

READ MORE

AMBER LULU: Wema Aliishi na Aslay Chumba Kimoja – Video

Msanii wa Bongo Fleva na muuza nyago kwenye video za wasanii, Amber Lulu, ametoboa siri ya Malkia wa filamu Bongo,...

READ MORE

Aslay Atia Neno Ndoa ya Kiba

WAKATI ndoa ya staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba’ ikiwa bado haijapoa, msanii mwenzake anayebamba na ngoma...

READ MORE

Aslay – Nibebe (official Video)

Kuwa wa kwanza kuangalia video wa wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Aslay unaoitwa Nibebe ingia Global App na kama...

READ MORE

Aslay Atuzwa Minoti Kibao Escape One (Picha na Video)

ULIKUWA ni usiku wa shoo kabambe kutoka kwa wasanii wanaofanya vizuri na ngoma yao ya ‘Subalkher’ ambao ni Nandy na...

READ MORE

Valentine’s Day… Aslay Kupiga zote za Mapenzi Dar Live

UKIWA ni mwezi wa malavidavi kwa mara ya kwanza kabisa hitmaker wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka anatarajiwa kutoa zawadi...

READ MORE

Valentine’s Day… Aslay Kupiga ‘Live Band’ Dar Live

  UKIWA ni mwezi wa malavidavi kwa mara ya kwanza kabisa hitmaker wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka anatarajiwa kupiga...

READ MORE

Aslay, Msagasumu Kuifunika Mbagala Valentine’s Day

  UKIWA ni mwezi wa malavidavi, wakali wawili, Mfalme wa Singeli, Seleman Jabir ‘Msagasumu’ pamoja na hitmaker wa Ngoma ya...

READ MORE

Aslay, Msagasumu Kuondoka na Tuzo Valentine’s Day

  HIT MAKER wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka pamoja na mkali wa Singeli, Seleman Jabir ‘Msagasumu wanatarajiwa kupewa tuzo...

READ MORE

COVER YA SUBALKHERI YA NANDY NA ASLAY YAMKUNA MAKAMU WA RAIS

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana jioni aliwakaribisha nyumbani kwake wasanii...

READ MORE

Nandy aanika siri za Aslay!

KAMA ni mpenzi wa Muziki wa Taarab kwa muda mrefu ni wazi utakuwa umezisikia nyimbo nyingi za muziki huo kutoka...

READ MORE

Aslay na Dogo Janja Waiteka Maisha Basement (Video + Pichaz)

Msanii wa Muziki wa Bongo fleva nchini kutoka Tip Top Connection Madee Ally akitoa burudani. Usiku wa kuamkia jana kulitisa...

READ MORE

Aslay – Hauna (Official Music Video)

 Msanii wa Bongo, Aslay Isihaka anayekimbiza kwa sasa kwa kuwa na nyimbo nyingi na nzuri kwa muda mfupi jana...

READ MORE

Walishtuka Wakasepa, Wakatusua

MVUTO wa makundi mengi yanayofanya Bongo Fleva umekuwa ukipungua kila siku huku namba ya wasanii ambao wanafanya muziki wa peke...

READ MORE

Barua Nzito: Aslay Sikio Lisizidi Kichwa!

NIWASHUKURU wasomaji wa Barua Nzito kwa maoni na ushauri wenu mbalimbali. Kama ambavyo niliwahi kueleza awali kuwa lengo la safu...

READ MORE

Aslay Afungukia Matumizi ya Kinga

STAA wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka, amefunguka kuwa, kwenye maisha yake ya faragha kamwe huwa haachi kutumia kinga kwa...

READ MORE

ACHA ASLAY ATAMBE… ALIFICHWA YAMOTO BAND!

NAENDA Kusema ndio moja kati ya ngoma ambazo zilimfanya Aslay Isihaka ajulikane kwenye gemu la Bongo Fleva, wakati huo alikuwa...

READ MORE

Aslay Afungukia Bifu Lake na Beka Flavor

HUKU kukiwa na fununu za kuwepo kwa bifu zito kati ya Aslay na mwanamuziki mwenzake Beka Flavor, ambao walifanya kazi...

READ MORE

Aslay – Natamba (Official Audio)

Aslay anaonekana yupo serious na game ya Bongo ikiwa ni wiki chache tu toka aachia video ya ‘Pusha’ na sasa...

READ MORE

CHAMBUSO: MUZIKI SIYO WA MKUBWA FELLA!

Meneja wa mwanamuziki anayefanya vizuri kwa sasa, Aslay Isihaka ‘Dingi Mtoto’, Chambuso amesema Mkubwa Fella haumiliki muziki wa kizazi kipya...

READ MORE

Prodyuza Zest Afungukia Maajabu ya Aslay

MWIMBAJI wa Nyimbo za Injili ambaye pia ni prodyuza wa nyimbo za msanii, Aslay Isihaka, Zest Daud, ameshangazwa na maajabu...

READ MORE

ASLAY: SISHUKI KIMUZIKI NG’O!

Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayeongoza kwa kupachikwa majina mbalimbali na kufananishwa na wasanii wakubwa kimataifa akiwemo Chris Brown, Aslay Isihaka...

READ MORE

Farhia Middle Hoi Kwa Aslay!

MTANGAZAJI ‘bei mbaya’ wa Vituo vya ITV/ Radio One, Farhia Hussein Middle amesema kuwa, miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva...

READ MORE

ZAMARADI MKETEMA: MUZIKI KWA SASA UPO KWA ASLAY TU

WASWAHILI wanasema mapenzi ni kikohozi na kuyaficha huwezi. Msemo huu umedhihirika kwa mtangazaji wa kituo cha televisheni, Zamaradi Mketema, ambaye...

READ MORE

Mtoto wa Mbunge Anaswa Usiku na Golikipa Timu ya Mtibwa Sugar

  Naima Shaaakiwa na Saidi Mohamed ‘Nduda’. Dar es Salaam: Binti wa aliyekuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shaa (CCM), Naima...

READ MORE