Kaka Sungura Afunguka Kutoka na Avril
Na Mwandishi Wetu/GPL
MKALI wa michano kutoka Kenya, Kelvin Ombima ‘Kaka Sungura’ amefungukia juu ya tetesi za kutoka na mwanamuziki mrembo anayesumbua katika ardhi hiyo ya Uhuru Kenyatta, Judith Nyambura ‘Avril’ kuwa si za kweli…
