Baba Rihanna Amkataa Mpenzi wa Mwanaye!
SIMTAKI! Huku mwanamuziki mwenye jina kubwa, Rihanna 'RiRi' akiwa amemtangaza bilionea mkubwa, Hassan Jameel kama mpenzi wake mpya, mzazi wa mrembo huyo, Ronald Fenty ameibuka na kusema kwamba hakubaliani kabisa na uamuzi wa mtoto wake…
