×

Siri Nzito Yafichuka Ukumbini! Shangazi, Mwanaye Washindwa Kujieleza -Video

Walipanga sherehe ya kukumbukwa, wakawaalika ndugu, jamaa na marafiki kushuhudia furaha yao. Lakini hawakujua kuwa siku hiyo ingebadilika na kuwa moja ya siku za aibu ambazo hawatazisahau maishani!

😳 Kilichotokea mbele ya wageni kiliacha ukumbi mzima ukiwa kimya kwa mshangao. Hakuna aliyetarajia siri iliyokuwa karibu kuwekwa hadharani!

💔 Je, ni nini kilitokea? Kwa nini sherehe yao iligeuka kuwa fedheha?

🔥 TAZAMA SASA UJIONEE MWENYEWE! HII NI FILAMU USIYOITAKA KUKOSA!

Leave a Comment