WATU wa kabila la Bajau wanaoishi katika visiwa vya Malay, Mashariki ya Mbali, hutumia muda mwingi wa maisha yao baharini...