Kikwete, Mwinyi Waongoza Wawaombolezaji Mazishi ya Balozi Sisco Mtiro
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mh. Dk. Jakaya Kikwete akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa…
