Balaa la Bomoabomoa Mpya Kutikisa Dar
Baadhi ya wakazi wa Kimara watakumbana na bomoabomoa nyingine baada ya Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) mkoa wa Dar es Salaam kutoa notisi ya siku 30 ya kuondoa nyumba, kuta, uzio au fremu za biashara zilizo katika hifadhi ya…
