×

Tag: Burundi

Zamalek Wagoma Kuja Dar Walipia Gharama Zote Mechi Kupigwa Cairo

IMEELEZWA kuwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kati ya Flambeau du Centre ya Burundi dhidi ya Mabingwa wa...

READ MORE

Tanzania Inakaribisha Wazabuni Ujenzi wa SGR ya Uvinza Mpaka Gitega

SERIKALI ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inakaribisha wazabuni katika ujenzi wa reli ya kisasa, Standard Gauge Railway (SGR) njia...

READ MORE

Rais Mwinyi Amuwakilisha Rais Samia Kwenye Sherehe za Uhuru Nchini Burundi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mariam Mwinyi wamejumuika na Viongozi...

READ MORE

Burundi na Cameroon Kuumana kwa Mkapa, Manara Apewa Uhamasishaji

TIMU ya Taifa ya Burundi inatarajia kukabiliana na Timu ya Taifa ya Cameroon katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar...

READ MORE

Samia: Tutaendelea Kushirikiana na Burundi

TANZANIA imesema itaedelea kushirikiana na Burundi katika kuimarisha ulinzi katika mipaka yetu. Hayo yamesemwa na Rais Samia Suluhu, katika mazungumzo...

READ MORE

Rais Samia Awasili Burundi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameondoka leo Ijumaa, Julai 16, 2021 asubuhi kuelekea nchini...

READ MORE

Warundi Wauza Alkasusu Kortini Kisutu

RAIA 29 wa Burundi wanaodaiwa kuuza kahawa aina ya alkasusu na kahawa ya kawaida, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Breaking News: Rais Pierre Buyoya Afariki Dunia

RAIS wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya, ambaye aliiongoza  Burundi kwa mihula miwili kuanzia mwaka 1987 hadi 1993 kisha tena...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Ndayishimiye Ashinda Urais Burundi

ALITYEKUWA mgombea urais wa chama tawala nchini Burundi, Evariste Ndayishimiye, ametangazwa mshindi leo kwenye kinyang’anyiro hicho baada ya kupata asilimia...

READ MORE

Rais Nkurunzinza Atangaza Kung’atuka Madarakani

RAIS wa Burundi, Piere Nkurunzinza, amebainisha msimamo wake wa kutogombea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, hatua ambayo imewashangaza raia...

READ MORE

Burundi Watua Dar, Watamba “Hatuwaogopi Stars” – Video

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Burundi kimewasili salama katika ardhi ya Tanzania kikitokea kwao Burundi kwa ajiri ya mechi...

READ MORE

Burundi Yakataliwa SADC

Ombi la nchi ya Burundi kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), limegonga mwamba baada kutokamilisha vigezo...

READ MORE

CHINA YAIPA BURUNDI BONGE LA IKULU, NI JIPYAA!

Balozi wa China nchini Burundi, Li Changlin na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Ezechiel Nibigira wamesaini hati ya...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Akamatwa Akimfanyia Mtihani Mwanajeshi

Mwalimu mkuu wa shule nchini Burundi amekamatwa kwa kudanganya kuwa yeye ni mwanafunzi akiwa na lengo la kumfanyia mtihani mtu...

READ MORE

Lugola Aonya Kuhusu Ajali, Ataka Wakimbizi Kurejea Kwao – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema alilivunja Baraza la Usalama Barabarani  kutokana na baraza hilo kukosa...

READ MORE

Burundi Wapiga Kura Kumruhusu Nkurunziza Kuwa Rais Hadi 2034

WANANCHI wa Burundi, leo Alhamisi Mei 17, 2018 wanapiga kura ya maoni kwa kufanya marekebisho ya katika ya nchi hiyo...

READ MORE

BAADA YA MTOTO WA MOBETO, MAPACHA WENGINE WAIBUKA KUTOKA BURUNDI!

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wakati sakata la mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kuzaa na mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

NDIKU: ATAKAYEMUOA UWOYA ANAJITAKIA KIFO!

  PICHA linaendelea! Baada ya hivi karibuni gazeti tumbo moja na hili, Risasi Mchanganyiko kufanya mahojiano maalum na staa mkubwa...

READ MORE

Burundi Yakataa Msaada wa Chakula Kutoka Rwanda

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza Serikali ya Burundi imesema, imezuia uingizwaji wa chakula cha msaada kutoka Rwanda kwa sababu za...

READ MORE

Taifa Stars Waigonga Burundi, Msuva, Mbaraka Wang’ara… Akina Mavugo Hoi

      Taifa Stars imeendeleza ushindi baada ya kuitwanga Burundi katika mechi ya kirafiki ya kimataifa kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Miili ya watu 34 yapatikana Bujumbura

Moja ya mwili ukiwa umefunikwa katika mji mkuu Bujumbura, Burundi. Miili 34 imekutwa leo katika mji mkuu Bujumbura huku machafuko...

READ MORE