The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Celebrities

CHUCHU: Mimba 6 za Ray ziliharibika

DAR: Mwanamama mwigizaji wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amefunguka kuwa, kabla hajampata mtoto wake, Jaden Vincent na mwigizaji mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’, mimba sita zilishaharibika.  Katika mahojiano maalum na Gazeti la IJUMAA,…

Maskini wema !

KILA kukicha hali ya staa wa Bongo Muvi inazidi kubadilika kutokana na kuzidi kukondeana jambo ambalo linazidi kuwashtua wengi na kubaki wakisema kwa kumuhurumia; maskini Wema. Picha ya Wema akiwa na wenzake ilisambaa kwenye kurasa…

Tiffah, Nillan kumponza Mondi

WATOTO wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ (4) na mdogo wake, Nillan Nasibu ‘Prince Nillan’ (3) wanaweza kumponza baba yao huyo na kujikuta akikwaa laana maishani mwake.  Mtabiri…

Nandy aonesha jeuri ya fedha

MWENYE nacho ataongezewa! Ndivyo msanii Bongo wa Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ (26), anavyozidi kuonesha jeuri ya fedha.  Usikumbuke mjengo wa kisasa na magari ya kifahari aliyowahi kuripotiwa kumiliki, hivi sasa chanzo…

Mobeto: Mniache sina mwanaume

MWANAMAMA anayebeba ‘taito’ tatu kwa mpigo ya uigizaji, mwanamuziki na mwanamitindo, Hamisa Mobeto amesema hana mwanaume na hahitaji usumbufu.  Akizungumza na Risasi Vibes, Hamisa amesema anashangaa watu wengi wanajadili suala la…

Ukweli Harmo kumtema Sarah

HABARI inayofukuta huko mitandaoni zinadai kwamba mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo amemwagana na mkewe Sarah, lakini Risasi Mchanganyiko limezama mzigoni na kuibuka na ukweli.  Awali, vyanzo mbalimbali vililieleza…

Ndoa ya muna yazua utata

BAADA ya hivi karibuni habari kuzagaa kuwa msanii wa filamu ambaye alikuwa mlokole, Rose Alphonce ‘Muna’ amebadili dini na kuolewa na mwanaume wa Kiislam, ndoa hiyo imezua utata mkubwa.  Habari za awali zilieleza kuwa Muna aliolewa ndoa…

Kidoa afungukia ujauzito

BAADA ya kudaiwa ni mjamzito kwa sasa, mwanadada Asha Salum ‘Kidoa’ ambaye alijipatia umaarufu kupitia uvideo queen na sasa amegeukia kwenye filamu, ameibuka na kufungukia ishu hiyo.  Sema kuna watu wengi wanajua yeye ni mjamzito,…

Davina: Shilole ni mwanamke na nusu

MSANII wa Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kuwa anamkubali sana msanii mwenzake Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kwa sababu ni mtu ambaye hafeki maisha, anaishi atakavyo.  Akizungumza na Risasi Vibes, Davina amesema kuwa kwa…

Ray C ajitoa ufahamu ughaibuni

WAKATI Bongo watu wakimisi picha za utupu za mastaa kutokana na sheria ya makosa ya mtandao kung’ata wengi, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amejilipua huko majuu.  Ray C ambaye ni msanii maarufu anayeishi nchini Uingereza kwa sasa, ametupia…

 NICKI MINAJ MATATANI

MWANADADA anayetikisa vyema katika gemu la Hip Hop kutoka pande za Marekani, Onika Tanya Maraj-Petty maarufu kama Nicki Minaj, amejikuta akiporomoshewa matusi na mashabiki pamoja na watu mbalimbali kufuatia kuachia wimbo wake mpya…

Tanasha: Mondi ataniua

MZAZI mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’, Tanasha Donna amefunguka mambo mengi likiwemo jambo kubwa lililosababishwa na mpenzi wake huyo ambalo liliweka rehani uhai wake, IJUMAA WIKIENDA lina…

Aunt afunguka skendo ya fumanizi

HABARI kubwa wikiendi iliyopita ni skendo ya fumanizi matata lililofanywa na staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel.  Kwa mujibu wa kurasa za udaku kwenye Instagram, Aunt alimfumania mumewe, Moses Iyobo na muandaaji wa Shindano la Miss…

Kigogo Atajwa Mjengo wa Mobeto

DAR: MJINI utanyimwa chakula lakini umbea utaupata bure, Mrembo Hamisa Mobeto amevumishiwa skendo kwamba mjengo mpya ‘aliyojimwambafai’ kuhamia hivi karibuni amepangishiwa na kigogo mmoja aliyepo serikalini.  Mwanzo Mobeto…

Petit atoa somo la mahusiano

MENEJA wa wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ahmed Manungwa ‘Petit Man’ amesema kwamba haoni kama kuna umuhimu wa kuyaanika matatizo yake yanayomkuta kwenye mahusiano. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Petit amesema kuanika matatizo ya…

Kufuru ya Pesa… Mondi Hakamatiki

KAMA ulikuwa unawaza kuna mtu kwenye tasnia ya Bongo Fleva wa kushindana naye mpaka sasa, unajiongopea! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, hakamatiki kwa kufuru ya pesa, anazitengeneza za kutosha, IJUMAA WIKIENDA…

Hawa: Naogopa kuumizwa

HAWA Said almaarufu kama Hawa Nitarejea ni miongoni mwa wasanii ambao walifanya vizuri kipindi cha nyuma hasa baada ya kutoka kwenye Ngoma ya Nitarejea aliyoshirikishwa na staa wa muziki huu wa Bongo Fleva; Nasibu Abdul…

MAMA: Sitaki Kuhusishwa na Wema

MZAZI anaposema hataki kuhusishwa na mambo ya mwanaye, Kibongobongo anakuwa anamaanisha nini; kwamba amemchoka au ametoa uhuru wa mtoto wake kujiamulia mwenyewe mambo yake?  Unajua kauli hii ya ‘sitaki kuhusishwa na mambo…

MAUA SAMA THT ILINIONDOA UOGA!

MAUA Sama ni miongoni mwa warembo ambao Kibongobongo wanafanya vizuri.  Amezungumza na Gazeti la Risasi Mchanganyiko mambo mengi yanayohusiana na muziki wake, karibu: Risasi: Kitu gani kilikushawishi kufanya muziki? Maua: Napenda…

Marioo Aibua Vita Mpya Mondi, Harmo

BWA’MDOGO anayefanya poa kwa sasa kwenye anga la Bongo Fleva, Omari Mwanga ‘Marioo’, ametajwa kuwaingiza kwenye vita mpya, mastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Rajab Abdul ‘Harmonize’, IJUMAA WIKIENDA limedokezwa.…