Wabunge 15 wakutwa na virusi vya corona
WAZIRI wa Afya wa Zambia, Chitalu Chilufy,a amesema baada ya zoezi la lazima la upimaji wa virusi vya corona katika bunge la nchi hiyo, wabunge 15 wamekutwa na maambukizi.
Amri ya upimaji huo ilitolewa baada ya wabunge…
