Country Boy Amefuata Nyayo za Rich Mavoko
WATU huigana, ndivyo unavyoweza kusema. Msanii wa Bongo Fleva kutoka Konde Music Worldwide ya Rajabu Abdul Kahali almaarufu Harmonize katika harakati za kuhakikisha lebo yake hiyo inakua na kuleta ushindani wenye tija katika tasnia ya…
