Dully: Darasa Nimemlea
NGULI wa muziki wa bongo fleva, Dully Sykes ameweka wazi mchango wake alioutoa kwenye muziki huo ikiwemo kulea vipaji vya wasanii kadhaa ambao wamegeuka nyota wakubwa kwenye muziki wa Bongo Fleva akiwemo rapa Sheriff Thabeet 'Darasa'.…
