DC MURO Afunguka Kufunga Baa ”Watu Wananywea Chooni” – VIDEO
Mkuu wa wilaya ya Meru Ndugu, Jerry Muro, ameelezea azma yake ya kuvifunga vilabu vya pombe na kurudisha uwajibikaji wa wanajamii katika shughuli za maendeleo ikiwemo uchangiaji wa Ujenzi wa Madarasa katika shule za sekondari wilayani Meru…
