Muigizaji Apewa Cheo Cha Kijeshi
Muigizaji wa Kimarekani, Denzel Washington ametunukiwa cheo cha kijeshi cha Sergeant Major of the Army (SMA) na jeshi la nchi hiyo kufuatia mchango wake wa kujenga nyumba za makazi kwa ajili ya Wanajeshi na Maveterani wa Jeshi la…
