YANGA: NAFASI YA DIDA BADO IPO WAZI
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa bado nafasi ya aliyekuwa mlinda mlango wa timu hiyo, Deogratius Munishi ‘Dida’, ipo japokuwa ameondoka klabuni hapo.
Dida amekataa kuongeza mkataba mwingine wa kuitumikia Yanga kufuatia mchakato…
