Ndege mpya ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, iliyonunuliwa na Serikali imeondoka nchini Marekani jana...