Rais Ali Bongo Atangaza Kuwania Urais kwa Muhula wa tatu
Rais wa Gabon Ali Bongo Ondimba amekaidi hofu za wapigakura baada ya miaka kadhaa kuwa katika kivuli cha baba yake na kuzima uvumi wa kifo chake kutokana na kuwa katika hali mbaya ya kiafya akitangaza Jumapili kwamba atawania muhula wa…
