H Baba Alikuwa Kwa Harmonize Kimchongo
MKONGWE wa Bongo Fleva, H Baba ametangaza kuachana na kushabikia au kuwa chawa wa Lebo ya Konde Gang chini ya Harmonize na kuhamia upande hasimu wa Wasafi Classic Baby (WCB) chini ya Diamond Platnumz.
Kwa kuweka rekodi sawa ni kwamba…
