HARMORAPA AKANUSHA KUMDISS MAJANI KWENYE NGOMA YAKE MPYA
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva asiyeishiwa vituko kila kukicha, Harmorapa ‘Mr Kiki’, ameachia ngoma mpya inayoitwa Ajitokeze ambapo ndani yake kuna mistari ambayo mashabiki wanadai amemtupia dongo meneja wake wa zamani, P Funk Majani.…
