×

Tag: IRINGA

Jela Miaka 30 Kwa Kumbaka Mama Yake Mzazi, Mtuhumiwa Atoroka Hukumu

MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa imemhukumu mfanyabiashara, Kaloli Mkusa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya shilingi milioni moja...

READ MORE

Avunjwa Miguu na Mikono Baada ya Kufamaniwa na Binti wa Watu

Kijana anayefahamika kwa jina Benard Mkolwe mkazi wa kata ya Madilu,wilaya ya Ludewa mkoani Njombe,amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu...

READ MORE

Machinga Iringa Wagoma Kuondoka

WAFANYABIASHARA wadogo wadogo (machinga) wa Manispaa ya Iringa wamesema kuwa hawapo tayari kuondoka katika eneo la Mashine Tatu na Miomboni...

READ MORE

Jesca Amsambaratisha Mch. Msigwa Iringa Mjini

MSIMAMIZI wa uchaguzi Jimbo la Iringa Mjini amemtangaza mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

READ MORE

Msigwa Aahidi Neema Iringa Mjini

Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amewaomba wananchi wa...

READ MORE

Meya Iringa Atuhumiwa Matumizi Mabaya ya Ofisi

MEYA wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe, amepewa siku tano kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwamo matumizi mabaya ya madaraka.   Hatua...

READ MORE

DC Kilolo Akalia Kuti Kavu, Majaliwa Aagiza Achunguzwe – Video

WAZIRI Mkuu  Kassim Majaliwa amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Happi,  afuatilie utendaji kazi kwenye ofisi ya Mkuu wa...

READ MORE

Watumishi Wawili TARURA Wafariki Ajalini Songwe

WATUMISHI wawili wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tanzania Rural and Urban Road Agency – TARURA) wamefariki dunia...

READ MORE

MAJALIWA AAGIZA HAYA BAADA YA RC HAPI KURIPOTI OFISINI KWAKE

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kampuni zote zinazosambaza nguzo za umeme zinatakiwa zilipe ushuru wa halmashauri wanakotoa nguzo hizo amboa...

READ MORE

MAJALIWA: RC IRINGA NA WENZAKE WARIPOTI OFISINI KWANGU – VIDEO

WAZIRI Mkuu  Kassim Majaliwa amewataka baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Iringa akiwemo Mkuu wa Mkoa huo, Ally Salum Hapi...

READ MORE

Baada ya Kuzushiwa Kulala Makaburini, RC Hapi Atoa Tamko

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ally Salum Hapi amekanusha taarifa za uzushi zilizotungwa dhidi yake na kusambazwa kwenye mitandao ya...

READ MORE

Msafara wa DIAMOND, WCB Wakiwasili IRINGA – Video

TIMU ya wasanii watakaopafomu kwenye Tamasha la Wasafi Festival mkoani Iringa wakiongozwa na Rais wa Wasafi, Diamond Platnumz, wametua mkoani...

READ MORE

RC HAPI AMSIMAMISHA KAZI OFISA WA USTAWI WA JAMII – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi,  amemwagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa kumsimamisha kazi Afisa Ustawi wa Jamii Manispaa...

READ MORE

Wajawazito Watozwa Elfu 50 kwa Kujifungulia Nyumbani – Video

WANANCHI wa kijiji cha Mapanda wilayani Mufindi mkoani Iringa wamelalamikia kitendo cha kutozwa faini ya shilingi 50,000 katika Kituo cha...

READ MORE

Mwanafunzi Chuo Kikuu Iringa ashinda Milioni 239. 4 za M-Bet

  Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa, Ibrahim Pius Mbwilo (28) ameshinda Sh 239,417,800 kupitia mchezo wa Perfect 12 unaoendeshwa...

READ MORE